Hisani Yangu... (Listen).. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hisani Yangu... (Listen)..

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mzee Mwanakijiji, Jan 23, 2011.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Jan 23, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Bonyeza Hapa Kusikiliza Wimbo Huu. Unaruhusiwa kuudedicate kwa umpendaye J'pili hii:

  HISANI YANGU
   
 2. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Very Cool Tune Mkuu.... Nani kaimba, katunga ?
  Kama ni wewe then you have got talent....
  Ukiweka zile message zako za kupinga ufisadi kwenye this form basi message itafika zaidi
   
 3. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  zoukmwambao kali sana hili.

  Hongera sana, mpe sugu beat hiyo ili aweke mistari ya hamasa.
   
 4. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hongera sana. Kwa nini usipande jukwaani? Mbona umekamilika kisawasawa!
   
 5. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  MMM ahsante sana...nimeu-download huu wimbo nimeusikiliza zaidi ya dkk 20 non-stop na natafuta cha kusema hakuna

  It is real amazing na umetulia...una utamu wa pekee kuanzia kwenye maneno, mpangilio wa sauti na mpangilio wa muziki

  Nausikiliza hapa na familia wametulia nao wanausikiliza...wameupenda ni mtamu sana

  Thanks MMM
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Jan 23, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Yeah MM panda jukwaani usikike zaidi!Sauti na mziki huo umenikosha!
   
 7. kasopa

  kasopa JF-Expert Member

  #7
  Jan 23, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hongera mkuu imekaa sawa hiyo tunategemea kukuona jukwaani karibu kazinzuri
   
 8. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #8
  Jan 23, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Kwa kweli yanauma yanatia uchungu, sitaki kujikera kila kucha balaa nazushiwa binadamu hawana wema!
   
 9. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #9
  Jan 23, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  sorry.. jamani siyo wa kwangu.. na miye nilitumiwa hivyo; ila na mimi nikanda jukwaani mafisadi si ndio tutakuwa tumeongeza ugomvi. Tangu nilipousikia na mimi namtafuta mtunzi na waimbaji.. bado sijapata uhakika.
   
 10. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #10
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ukimpata mtunzi mpe hongera zake :A S-omg:!!!
   
 11. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #11
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  duuuhh
  asante sana dear..
  (real player) so i can listen again and again ...
  thanx
   
 12. Wameiba Kura

  Wameiba Kura JF-Expert Member

  #12
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Mkuu thank saaaaaana, luv this, safi, imetulia, kimwambao mwambao, pia kimdundo dundo, do, nimecheza cheza
  uhh, uhhh, aaaahhh, mmhh:msela::msela::msela::msela:inaendana na hii avatar inavyo dance, uhhh, rahaaaaaa, rahaaaaaa
   
 13. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #13
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,629
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nice one....:A S kiss:
   
Loading...