Mwanaume kuona AIBU mbele ya mwanamke ni UDHAIFU mkubwa, na tabia mbaya

Wameiba Kura

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
390
3
Hadi leo unakutana na mwanaume anaona AIBU anapokutana na DEMU au mwanamke
yaani mara anaangalia chini, kushika kichwa, mara ageuke nyuma.....aarrrrrrgghh
mm kama mwanaume kama nimemwoana mwanamke kapendeza au nataka kumtokea
mara moja namsogelea nipo sooooo smart kwa kila kitu, namwongelesha kwa BIGGEST
EVER confidence, namwabia kapendeza, ana manyonyo mazuri nimezimika kwake,
ana makalio ya kufa mtu naomba walau tuonane tuwe na contact tuonane siku
mwafaka, akikubali mtoe kwa soft drink hapo hapo, m drive back home, mweleze
alivyokugusa moyo, then utapata, sasa DUME zima eti anaona aibu whaaaaaat? utasikia
mechi uwanja wa Taifa tu, hutacheza ng'oooo
 
this is true, mwanaume kuwa na aibu ukiwa na mwanamke ni ukilema wa ubongo, STAND UP, SPEAK,acha kuwa BUBU, upatiwe nini, demu angate vidole
na mwanaume ungate vidole eeeboooo, demu atakucheka na kukudharau
 
Kuna kitu kinaitwa Psychology ambacho kina vitu vingi ndani yake kimojapo kinaitwa Personality. Personality (Haiba) ya mtu huzaliwa nayo, tofauti inakuja pale haiba hiyo inapokuwa imekosa balance. Huyo anayeona aibu sana ni personality yake kama yule anayesema sana. Kuna mtu akiongea na mdada nakutoka kapa anaweza kuugua hata mwezi au mwaka. Kuna mwingine anaweza kukataliwa na wanadada 20 wa mtaa mmoja na wote wanajua lakini huyo mtu atakwenda kwa 21, 22 23 n.k. hiyo ndiyo personality inavyofanya kazi.
Kwa huyo unayemzungumzia inaweza kuwa mambo mengi, huenda ndiyo personality aliyozaliwa nayo, au pia yaweza kuwa hana exposure kama unavyotarajia. Njia mwafaka ni kumsaidia na si kumsimanga.Inaweza kuwa aibu hiyo ni sehemu ya Psychiatric, sasa unaweza kumcheka mgonjwa wa akili.!!!!!!! Usidhani yule anayeongea sana ndiye mzima, naye pia yupo extreme side, na kwa vile wote wamekosa middle point hatuwezi kusema huyu ni afadhali kuliko yule.
 
mmmhhhh MR.president na Wameiba kura

Kabila lenu lina eleza kila kitu....
mmmmhhhh ndo maana
sishangai kwa kweli lol
 
this is true, mwanaume kuwa na aibu ukiwa na mwanamke ni ukilema wa ubongo, STAND UP, SPEAK,acha kuwa BUBU, upatiwe nini, demu angate vidole
na mwanaume ungate vidole eeeboooo, demu atakucheka na kukudharau

kweli kabisa. Tunapenda wanaojiamini.
Sio mnatutokea halafu mnaanza kucheka cheka.
 
Wengine anakuita ukienda hana la kusema anakutizama huku michozi inamtoka
 
Wengine anakuita ukienda hana la kusema anakutizama huku michozi inamtoka

hhahahahahahahahaa lol
oooohh dear umeniacha hoi...

halafu hapo ukimuuliza nini kulikoni
anakupigia ( uzuri wako) kwa kweli wanazidishaga saa nyingine..
 
hhahahahahahahahaa lol
oooohh dear umeniacha hoi...

halafu hapo ukimuuliza nini kulikoni
anakupigia ( uzuri wako) kwa kweli wanazidishaga saa nyingine..

Halafu uongo mtupu dear,ila siku hizi watashaa labda wakutane na warugaruga
 
This is lack of confidence kwa baadhi ya wanaume. they are not ready take any risk

hhahahahahahahahaa lol
oooohh dear umeniacha hoi...

halafu hapo ukimuuliza nini kulikoni
anakupigia ( uzuri wako) kwa kweli wanazidishaga saa nyingine..
 
This is lack of confidence kwa baadhi ya wanaume. they are not ready take any risk

mmmmhhhhh
kama mtu hayuko tayari kuchukua risk yeyote
au kukubali ku fail ....
basi ana matatizo..
mie ndo naona hivyo dear
 
hawaaminiki mpenzi na ukishawajua hawakupi shida

mmmhh lakii hawa watu wamejaliwa..
utakuta anakuangalia usoni anakwambie
maneno mataam kweli..

kumbe uongo mtupu...
hahahahha lol

usema ukweli napenda kuyasikiliza..
even tho mara nyingi sichukui notice yeyote dear lol
 
mmmhh lakii hawa watu wamejaliwa..
utakuta anakuangalia usoni anakwambie
maneno mataam kweli..

kumbe uongo mtupu...
hahahahha lol

usema ukweli napenda kuyasikiliza..
even tho mara nyingi sichukui notice yeyote dear lol

Kwahiyo umeamua kuniumbua hadharani ehee!!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom