Wameiba Kura
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 390
- 3
utakuta mwanume na mwanamke wanajuana miaka mingi, ila hawako karibu sana
tena, wanaheshimiana miaka yote, ila siku wakila TUNDA au wakifanya tendo la
ndoa wanakuwa karibuuu, tena wanakuwa HURUU, kila mmoja utasikia huyu mtu
wangu/ wa ubani/ mwenye mali/baba watoto au, au....... hivi TENDO la NDOA
ndio hati miliki? tena utaulizwa questions oohh, mbona cm yako ulizima, kwanini
ulikuwa wapi? ulikuwa na nani? etc, etc, hata mkifanya mara moja ile AIBU iliyokuwa
inawatenga inatoweka, sasa mnakuwa very close, ni nini? hivi ukifanya ndio
umemjua mtu? tena utakuta mwingine ana confidence 100% juu ya mwenza wake baada
ya tendo hilo, hili ni tatizo kubwa, watch out......!!!!!