Tamko la Kamati Kuu ya Chadema: Jan 31 Jan, 2011

SAFIIIIIIII kanyaga twende Dr. Slaa, hawa CUF wanakula na mkono wa kulia halafu
wanasema mkono wa kushoto hauna kitu, wapo serikalini, mguu mmoja nje mwingine
ndani, kinyonga style, kama fisi mtaka vyote atakosa vyote, hawaeleweki, unpredictable
ni wapinzani au wana CCM au neutral, wasituchanganye, halafu lini maandamano? Let's GOOOOO:msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::clap2::clap2::israel::israel::israel::israel::israel:
 
Attachments

  • imagesCAD3W3FZ.jpg
    imagesCAD3W3FZ.jpg
    10.4 KB · Views: 19
  • imagesCANMZILT.jpg
    imagesCANMZILT.jpg
    7.3 KB · Views: 23
  • imagesCATXHZHX.jpg
    imagesCATXHZHX.jpg
    6.7 KB · Views: 30
Tunawaombeeni kila la kheri ila msigombane na polisi tu. Tuko pamoja na nyie kinadharia lakini sio kiitikadi (kwani siwaungi mkono Chadema ila napinga ufisadi). Sifikirii kama Chadema wamefikiria vizuri katika kukawakatalia CUF hiyo itazidi kuwamaliza badala ya kuwajenga kwani wamegubikwa na tuhuma za kwamba ni chama chenye udini (hasa ndugu zangu wakristo)!!! Wangeliwaruhusu CUF na ikisha baadae wakaharibu kwa kuonyesha upambe dhidi ya CCM then CUF ingelikufa kifo cha mende. Hivi nadhani Chadema ndio wanajiandalia kaburi lao karibuni hakuna mtu atawaunga mkono isipokuwa wanachama wa chadema tu.
 
Nadhani hapa Chadema wamefanya siasa ya mfumo wa Chama kimoja wakati wa vyama vingi. Lugha ya tamko lenyewe imakaa kaa ki-CCM! Nilitarajia badala ya kusoma "kamati kuu imeamua..." iwe "baada ya mazungumzo na vyama dada vya upinzani tumefikia uamuzi..." Tujifunze kwa siasa za Uingereza hata Liberal waliungana na Conservative. Nadhani Tanzania bado sana katika mfumo wa vyama vingi! Siasa za vyama vingi vinahitaji wingi pia! Sasa kwa mtaji huu Chadema isitarajie kuwa effective bungeni na pia inajiharibia image especially among Zanzibaris na Muslim community.

Pili; ni maono yangu kwa uzoefu wangu wa siasa za Tanzania, Chadema hakitamaliza muhula huu kikiwa bado Chama Kikuu cha upinzani! Multi-party inahitaji weledi kufikia malengo!
 
Hilo ndilo tamko la CDM, unavyoshauri iwe tayari imeshatekelezwa na CUF Zanz. wameungana na CCM.
 
CUF wamefunga ndoa na CCM na kuunda serikali. Ni sahihi kabisa kwa uamuzi uliofikiwa na CHADEMA. Vyama vingine ambavyo havijafunga ndoa na CCM huru kushirikiana katika kuunda mawaziri kivuli, lakini CUF ng'ooooooooooo. Cuf wajitahidi kuwa waaminifu katika ndoa yao na CCM.
 
Hayo maneno!! Hatutaki siasa za kubahatisha hapa. Nchi haikombolewi kwa siasa ambazo ni substandard! Bravo chadema!
 
Hii ndio inatakiwa CUF wamejitoa wenyewe kwenye upinzani, wabaki hukohuko CCM!
 
Wametoa tamko kuhusu matokeo ya form four pia. Wataunda kamati ya / tume ambayo. Itatoa report kufikia mwezi wa tano.
Katiba mpya mchakato uanzie bungeni .
 
cuf! mh! seif angesubiri akakataa kushirikiana na ccm, leo upepo wa tunisia na misri ungempitia, angepelekwa ikulu kwa mbeleko
 
CDM wameona mbali sana. CUF walishaamua kufunga ndoa na CCM, inakuwaje wanang'ang'ania kufunga ndoa nyingine na CDM? Kama wanataka ndoa na CDM inabidi waombe talaka kutoka CCM. Hongera CDM msiwaruhusu hao wanataka kuwa makuwadi wa CCM na watakuwa wanavujisha siri na mikakati yenu ya sasa na ya baadaye!!!
 
asalam aleikum. cuf walisahau kuwa serikali za umoja wa kitaifa za kenya na zimbabwe ni tofauti na hapa. wangelazimisha iyo serikali ya umoja wa kitaifa iwe ni bara na visiwani, walisahau kuwa hakuna taifa la zanzibar bali taifa liitwalo Tanzania
 
Yaani na nyie CUF sasa mmezidi?

Ndani ya taifa hilo hilo moja mchana mnaona upinzani kutamu na ikifika usiku mnajifunika blanketi la userikali na swahiba wenu CCM jamani wenzetu mtapasuka buure msamba eti!!!!

Hebu tulieni mchague njia sahihi ya kufuata acheni hizo ghiliba za kichangudoa jama mmeshakua watu wazima huko mvumiliane hivo hivo tu. Na Watanzania tuwaelewe hivo hata uchaguzi wowote unapokuja ni sharti mmbebe kwa pamoja uchafu wa CCM.
 
Dr Katibu mkuu wa cdm,we ni dira na mwanga wa Taifa. Inafaa tuweke mwenge wa uhuru makumbusho ya taifa na wewe ndo uzungushwe Tanzania ili uwaangazie waTanzania. CUF wameshindwa kuonesha njia. Hamad rashid akae aone upinzani ulivo si kujiita mpinzani tu!
 
Thats right. Kama CUF-Bara watajitenga na CUF-visiwani tutaanza kujua wanajali Bara, kwa sasa NO
 
Sasa na cuf wasipowaunga mkono chadema kusiwepo namalalamiko,kila mtu kivyake sasa,kila muosha huoshwa.

charles mwera,hamna kumwaga mboga kwa kuwa ugali umemwagwa. CDM haiitaji kuungwa mkono na cuf au ccm ndo iwe mpinzani,hapana. Kama cdm waliwatetea wananchi wakiwa wabunge 5 ktk bunge la 9 ,mpaka leo wataomba msaada kumtoa nduki nduli ccm? Ivi ktk kumchagua spika Makinda ulikuwepo?unajua kura zilikaaje kati ya marando vs makinda? Je uliisikia hotuba ya jk bungeni,waliogomea wizi wa kura ni akina nani? Hapo ndo utawajua wapinzani ni akina nani!
 
Sasa hao CUF wanataka wawe katika kambi ngapi? Kambi ya mafisadi wanaitaka... na kambi ya upinzani wanaitaka.... they are crazier than I thought!!! What's that???... political prostitution or something!!!
 
Nadhani hapa Chadema wamefanya siasa ya mfumo wa Chama kimoja wakati wa vyama vingi. Lugha ya tamko lenyewe imakaa kaa ki-CCM! Nilitarajia badala ya kusoma "kamati kuu imeamua..." iwe "baada ya mazungumzo na vyama dada vya upinzani tumefikia uamuzi..." Tujifunze kwa siasa za Uingereza hata Liberal waliungana na Conservative. Nadhani Tanzania bado sana katika mfumo wa vyama vingi! Siasa za vyama vingi vinahitaji wingi pia! Sasa kwa mtaji huu Chadema isitarajie kuwa effective bungeni na pia inajiharibia image especially among Zanzibaris na Muslim community.

Pili; ni maono yangu kwa uzoefu wangu wa siasa za Tanzania, Chadema hakitamaliza muhula huu kikiwa bado Chama Kikuu cha upinzani! Multi-party inahitaji weledi kufikia malengo!
Tatizo la watu mnaotaka muungano wa kiinimacho wa wapinzani hamtaki kujibu maswali magumu! Liberal walipoungana na Conservative inafananaje na CHADEMA kuungana na CUF??? ktk muungano huo wa Waingereza Ccm ni ipi hapo?!

Taja vyama vitatu Uingereza vyenye muungano wa ajabu kama mnaotaka uwepo hapa Tz... halafu wabunge wazalendo wa kweli wanatakiwa wawe kwenye baraza la mawaziri kivuli au wapiganie hoja zenye maslahi kwa raia wa Tanzania??! Hivi bunge lililopita kina Mwakyembe walikuwa mawaziri vivuli?

Kumbukeni raia wengi hatuko kwenye vyama vyenu hivi vya siasa...
 
Tulichotangaza ni maandamano, tena ya amani na siyo uniform, au magwanda. kama umechoshwa na yale yanayoendelea nchini mwetu basi njoo utuunge mkono. Njoo na bango lako lililo na message kwa watanzania. Usije na silaha. Tunawasiliana na CDM na NCCR ili watuunge mkono na waandishi wa habari na wakereketwa wooooote ili dunia nzima ielewe kinachoendelea kwetu. Kuja na simu iliyo na internet RUKHSA

masharti kama mtihani wa kumaliza darasa la saba vile.
 
si ndo nauliza? kwani hamna wana CUF humu au viongozi wao? wewe sio Mwera wa Tarime?
unaruhusiwa,cuf wamesema sio wabinafsi ila wanataka waungane na watanzania wote bila ubaguzi bila kuweka itikadi za kichama,hata ccm wanaopinga malipo ya dowans wanaruhusiwa,chadema,tlp,nccr,udp,nakila mtanzania mwenye uchungu na taifa hili,ila mimi sio mwera wa tarime.
 
Back
Top Bottom