Recent content by wamarangu

  1. W

    JamiiForums Tanzania Bodaboda wote wahakikiwe na kupatiwa leseni ya kozi maalum ya kubeba abiria

    Leo wamechoma saibaba huko tanga
  2. W

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Ingia juice mp3 utapata nymbo zote.utakuja kunishukuru.mm natafuta wimbo wa tuwaheshimu wazazi baba na mama pia wa ommy belima miondoko ya kaswida nimejaribu kutafuta bila mafanikio
  3. W

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Ingia juice mp3
  4. W

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Tuwaheshimu wazazi baba na mama pia wa ommy belima kama kuna mtu anao naomba mnitumie
  5. W

    JamiiForums Tanzania Laigwanani Ole Kisongo ashindwa kumfanyia mila Lowassa

    Sumaye ni mtu wa hanan'g ni mmbulu
  6. W

    JamiiForums Tanzania Tuambie Mechi yako Bora zaidi ya soka ambayo umewahi kuishuhudia

    Nikurudishe nyuma kdogo.je, unaikumbuka fainali ya uefa kati ya man u na bayen munich? Tafuta watu wakusimulie ndo utajua ni bonge la mechi enzi za refa kipara colina anatoa kadi huku anakuchekea hyo ilikuwa 1998
  7. W

    JamiiForums Tanzania Hii picha imepigwa vipi? Mbona haieleweki?

    Ita Itakuwa picha imepigwa kwenye kioo ndo mana mandishi yamegeuka
  8. W

    JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha mapendekezo ya Mwenyekiti na makamu wa NEC kupendekezwa na kamati ya usaili badala ya kuteuliwa na Rais moja kwa moja

    Chawa wa walafi wa nchi🐖🐖🐖 na wewe ni mmoja wa wanufaikaji
  9. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umejichanganya ukazaa kabla ya Kuolewa ukajifanya Mjanja basi imekula kwako maisha yako yote

    Akili zako za kimaandazi ndo zinakufanya uwaze hvyo.je,vp wale ambao wanaobakwa
  10. W

    JamiiForums Tanzania Misemo iliyotrendi 2023: Ni msemo gani uliibuka mwaka huu ukakufurahisha au kukukasirisha?

    Sehemu za siri(nyeti)imekuwa sio siri tena, ukikataa kujituma utatumwa
  11. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukimtongoza mwanamke jiandae kuangushiwa gunia la matatizo mpaka ukimbie mwenyewe

    Hakuna sherehe inafanywa bila kupamba lazma gharama zikuhusu
  12. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukimtongoza mwanamke jiandae kuangushiwa gunia la matatizo mpaka ukimbie mwenyewe

    Utasherekeaje sherehe bila kupamba?gharama zinakuhusu mzee
  13. W

    JamiiForums Tanzania Mnashangaa nini leo kuona CCM kumevurugika? Mimi si niliandika uzi hapa JF kuelezea mpasuko CCM mkanipuuza?

    We sema uko jikoni unakula minyama ukishashiba ndo unatusambazia,,
  14. W

    JamiiForums Tanzania TANZIA Askofu Mstaafu wa Dayosisi ya Kaskazini ( KKKT) Dkt. Erasto Kweka afariki Dunia

    Nakumbuka alikuja kulibatza kanisa letu la moshi marangu mamba kokirie likaitwa (ruwaichi )yaani mungu anajua mwaka 1994.mungu ampe pumziko la milele.amen
Back
Top Bottom