Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 22,470
- 28,260
Halafu alikuwa na wake wawili lakini akazikwa kidini.Naniliu atakua alizikwa kimila, make mazishi yalifichwa.... Kushtuka tayari chombo ina mfuniko
Halafu alikuwa na wake wawili lakini akazikwa kidini.Naniliu atakua alizikwa kimila, make mazishi yalifichwa.... Kushtuka tayari chombo ina mfuniko
Acha mambo yako Mkuu!! Hatujaanua matanga Monduli...!Mkuranga huko.
Sijasema lini mkuu.Acha mambo yako Mkuu!! Hatujaanua matanga Monduli...!
Ole Kisongo ni tapeli sana ni mtu anaye tumika sana na WanasiasaKama ambavyo tulielezwa hapo awali
Kuwa Waziri mkuu mstaafu Edward Ngoyai Lowassa angezikwa kimila kwa mujibu wa kabila la Kimasai.
Ambapo angepakwa mafuta ya kondoo kisha wajukuu na watoto nao kupakwa na Mwisho mwili wake kuzikwa ukiwa umekalishwa kwenye Kigoda hali hiyo imekuwa tofauti!
Lowassa ambaye ni Kiongozi(Laigwanani) wa jamii hiyo aliwaunganisha jamii ya kimaasai kwa upande wa Afrika Mashariki mpaka Ethiopia kutambuana na kushirikiana katika maswala ya maendeleo.
Jambo hilo limeshindikana kuzikwa kimila na Malaigawanani
ambao wameweka kambi kijijini Ngarash toka juzi wakiongozwa na Laigwanani wa Tanzania Izack Ole Kisongo Meijo
Baada ya mbele ya kaburi la lowassa akiongozana na malaigwanani wengine walimfanyia ibada ya maombi tu kwa lugha ya Kabila la kimaasai na kutamka familia imeomba waheshimu Imani ya Laigwanani lowasa ya Kilutheri.
Na hivyo hawatapaka mafuta.
Ole Kisongo ni Laigwanani wa jamii ya Kimasai ambae makazi yake yako Kisongo nje kidogo ya jiji la Arusha.
Unajua maana ya Kisongo kwa Kimasai? au unajicomentia tu vitu usivyo vijua?Ole Kisongo. Nafikiri pale Kisongo panatokana na jina lake.
Mkuu, zamani wanyamwezi Chief akifa alikuwa anazikwa na mwali (bikra) akiwa hai na anampakata chifu huku akiwa hana uhusiano wowote bali ni msichana katika familia iliyochaguliwaWaafrika tumekubali mila zetu ni za kishenzi kwa kiasi kikubwa.
Yani mtu anapenda ajinasibishe na Azania Front au Msikiti wa Tambaza kuliko na mila zake za Monduli au Mkuranga huko.
Sumaye ni mtu wa hanan'g ni mmbuluAisee.
Sumaye naye vipi sijamsikia wakati ni mmasai mwenzake.
Mkuu, zamani wanyamwezi Chief akifa alikuwa anazikwa na mwali (bikra) akiwa hai na anampakata chifu huku akiwa hana uhusiano wowote bali ni msichana katika familia iliyochaguliwa
Na wanafurahia mwanao kumpakata maiti ya chifu wao
Nyerere alipiga marufuku kama sikosei mila hizo baada ya Uhuru
Kweli zikikuwa mila za kishenzi
Unazika mtoto hai kweli
Mkuu,Mkuu, zamani wanyamwezi Chief akifa alikuwa anazikwa na mwali (bikra) akiwa hai na anampakata chifu huku akiwa hana uhusiano wowote bali ni msichana katika familia iliyochaguliwa
Na wanafurahia mwanao kumpakata maiti ya chifu wao
Nyerere alipiga marufuku kama sikosei mila hizo baada ya Uhuru
Kweli zikikuwa mila za kishenzi
Unazika mtoto hai kweli
Asante sana mkuu, kweli kuwa uyaone na kuongezea kuyasikia piaMkuu,
Mimi siko kwenye kutetea mila kwa sababu ni zetu tu, au kwa sababu ni za kigeni tu.
Sipo hata kwenye kutetea mila per se, kwa sababu kutetea mila ni logical fallacy ya "argument from tradition".
Kwa hivyo mambo ya kipuuzi kama kuzika watu wamsindikize Chifu, siwezi kuyatetea.
Ila, mila nyingine zina mambo mengi sana complex ambayo yana mantiki, na tunaweza kuyatupa kwa kuona "hizi mila za zamani tu". Kumbe zina maana.
Kuna mzee alikuwa anasimamia kazi ya kuongeza yard ya bandari miaka ya 1970s, akafika kwenye shamba la mzee mmoja hapo Kurasini, mwenye shamba akawa anasema hawezi kukubali shamba lake lichukuliwe kuongeza yard ya bandari, kwa sababu lile shamba lina miti yake anaiabudu, yani yule mzee alikuwa na dini ya asili ya kuabudu miti, hakutaka miti ikatwe.
Sasa, hapo kwa juu juu tu, unaweza kusema huyu mzee ana mila za kishenzi tu, mti utakuwaje Mungu? Lakini leo ukienda kuchunguza mambo ya ecology, utakuta kimsingi huyo babu alikuwa ana lengo la kuzuia kukata miti kama wanamazingira. Tofauti ni kwamba mwanamazingira anaweza kukuelezea kisayansi kwamba ukikata miti kutakuwa na effect hii ki ecology, huyu mzee anakupa short version ya kiasili kwamba mti huu ni Mungu wake.
Siku hizi huko dunia iliyoendelea vyuo vikuu vinaalika watu wenye elimu ya mila na utamaduni watoe uzoefu wao kwenye masuala kama ya mazingira.
Kuna story moja ya kisima kilichokuwa na madini yenye sumu kwenye maji yake. Wazee wa kijiji walishindwa kuelezea matatizo ya kisima kile kwa kutumia sayansi na kemia, walisema tu "kisima hiki kina majini, msinywe maji yake, mkinywa mtakufa". Na kweli, ukinywa maji unakufa.
Sasa hapo ukisema hizi ni imani za kishenzi tu, hakuna majini, mimi nakunywa tu maji ya kisima, unakufa sio kwa sababu kisima kina majini, bali kwa ile sumu, ambayo wazee wameshindwa kuielezea, wakaiita "majini".
Kwa hiyo, mila nyingine zenye negative impact, waziache tu. Wala hakuna mgogoro.
Ila mila ambazo hazina negative impact, au zenye positive impact, sanasana zinaongeza sense of identity tu na kuweka watu pamoja, tena nyingine hata kwa mfano makanisa kwa kuelewa umuhimu wa mila, yameruhusu tu, kuna umuhimu gani wa kuziacha?
Sawa kwani unajua maana ya kisongo mkuu? Je majina hayo kwani huwa hayapewi watu?Kisongo ilikuwepo zamani mno. Wala si kwa sababu yake. Huyo mzee ni rika la Makaa.
Kisongo ni ya zamani mno. Hata kabla ya Uhuru ilikuwapo.
Hii bongo hairuhusiwiMimi nitafanyiwa aquamation.
Kivipi mazingira yanaharibika?? Yaan majeneza yanaharibu mazingira?? Wakati hapo Una shelves za mbao sofa seti za mbao...Kufukia mnavyofukia, kwa maoni yangu, ni kuharibu mazingira.
Mimi nitafanyiwa aquamation.
Si inawezekana ikawa ni jina linalohusiana na ukoo wake?Kisongo ilikuwepo zamani mno. Wala si kwa sababu yake. Huyo mzee ni rika la Makaa.
Kisongo ni ya zamani mno. Hata kabla ya Uhuru ilikuwapo.
Yaani mwili uwekwe kwenye maji kisha alkali ya potassium hydroxide uwekwe kisha joto la 150c...Aquamation has no ashes.
Loved ones will not endure that, kazi za watu hizo.
Yani hapo ulichosema mtu mwingine anaweza kusema kuzika kutachukua miaka mwili ku decompose, hivyo kuzika ni too long and agonizing for loved ones to endure.
Pale unapojaribu kum block mtu na kumdidimiza matokeo yake hatua zako hizo anazigeuza ngazi na kwenda juu zaidi.
Nakumbuka Nelson Mandela alizikwa kimila kwa mujibu wa kabila la kizuluKinachozipa ushindi imani hizi za kigeni dhidi ya imani zetu za asili ni fundisho la maisha baada ya kifo. Cc: @matola phd
Angezikwa kimila ingefifisha matumaini ya kwenda mbinguni.