Recent content by Wamajanga

  1. Wamajanga

    Mama yake Wema Sepetu unajishushia heshima

    Ntatuma baadae clip
  2. Wamajanga

    Mama yake Wema Sepetu unajishushia heshima

    Leo mama wema nimekushusha huku mtaani kwetu tunasema nimekushusha vyeo yaani heshima nimesikiliza mahojiano yako na Soudy Brown wa Clouds fm muda huu nimeshangaa unavyopayuka kuhusu ugomvi wa mwanao na Man Fongo hata haingii akilini kwa kuchukua maneno ya kuambiwa ndo kuwa source yako kubwa...
  3. Wamajanga

    Ugomvi wa jide na clouds umefika huku?

    Hata mi nmeskia
  4. Wamajanga

    Msaada:Jinsi ya kubadili jina na kufuta posti humus JF

    Naombeni msaada wa kubadili jina na kufuta post humu jf
  5. Wamajanga

    Namuunga mkono Ray C kwa anachofanya Shigongo kwake

    Niliangalia mahojiano aliyokuwa anafanyiwa msanii wa muziki wa kizazi kipya Rehema Chalamila maarufu kama Ray C alikuwa anamlalamikia mmiliki wa kampuni ya Global Publisher Bw Erick James Shigongo kwamba magazeti yake yanamfanya aishi maisha ya tabu kwa kuwa anajitahidi kuacha madawa lakini...
  6. Wamajanga

    Kwani mradi wa DART umeishia wapi?

    Mana toka waziri mkuu atoe kauli kwamba tarehe 15 januari iwe ishaanza kufanya kazi lakini hadi leo haijaanza na hakuna kauli yoyote kutoka serikalini,magari tu yanabadilika rangi pale jangwani na kariakoo,tukisema serikali yetu ina mipango ya kitoto tunakosea.
  7. Wamajanga

    Kwani mradi wa DART umeishia wapi?

    Mana toka waziri mkuu atoe kauli kwamba tarehe 15 januari iwe ishaanza kufanya kazi lakini hadi leo haijaanza na hakuna kauli yoyote kutoka serikalini,magari tu yanabadilika rangi pale jangwani na kariakoo,tukisema serikali yetu ina mipango ya kitoto tunakosea.
  8. Wamajanga

    Benki ya Access Tawi la Mbagala Imevamiwa!

    Watu wanaosadikiwa majambazi wauwa Mbagala walipokuwa walipomaliza kupora katika benki ya Access tawi la Mbagala na kuna taarifa kwamba walipotupa mabomu mi nimeona maiti 3 kwa taarifa zaidi tutajulishana.
  9. Wamajanga

    Serikali mmekurupuka uamuzi wa level seat mnagombanisha abiria na trafiki

    Yaani ni hivi jeshi la usalama barabarani nilisikia limetangaza kuwa ni marufuku kupandisha abiria wengi na mpaka kusimamisha hiyo ni nzuri kwa gari nyingine ila si kwa daladala zinazofanya kazi zake dar es salaam mana gari zilizokuwepo tu hazitoshi hasa haya maeneo ya mbagala,gongo la...
  10. Wamajanga

    Update live:Liverpool vs Leicester city,

    Hebu lete tathimini yako nani ataibuka mshindi
  11. Wamajanga

    Je, Ni msanii gani wa Bongofleva aliyepotea katika muziki unatamani arudi katika muziki?

    Mi wasanii ninaowataka warudi ni Voice Wonder Kali P Suma G Solid Ground Family Suma Lee Noorah Je wewe unawamiss kina nani?
  12. Wamajanga

    Mbona majina ya wakwepaji kulipa kodi yanafichwa?

    Ni hivi nashangaa kufichwa kwa majina ya wamiliki wa makontena yaliyotoroshwa bandarini bila kulipa kodi tulisikia majina ya kina bakhresa na bin slum lakini wengine hatuwajui au sheria inawalinda kutotajwa mana tunahisi tumechezewa changa la macho.
Back
Top Bottom