Recent content by Walas Ba

  1. W

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Yani mtu hafanyi hata utafiti kidogo, hivi anawajua wachezaji ambao ni injury prone huyu kweli, tunamuonesha mfano sasa kuna Mason huyu anaumia hata akiwa kwake tu bila kucheza 😅😅
  2. W

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    2019/20 Pablo Marí Cédric Soares Willian 2020/21 Gabriel Magalhães Thomas Partey Rúnar Alex Rúnarsson Martin Ødegaard (loan) Mat Ryan (loan) 2021/22 Ben White Aaron Ramsdale Martin Ødegaard (permanent) Takehiro Tomiyasu Albert Sambi Lokonga Nuno Tavares Auston Trusty 2022/23 Gabriel Jesus...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Umesema arsenal mlikuwa na nidhamu ya kusajili. Unaanza kutafuta chocho za kukimbia na mpira kwapani.
  4. W

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Arsenal mlikuwa n nidhamu gani ya usajili jamani , embu acheni ujinga bwana. Kina Pepe, Lokonga, Lacazete, Aub, Nk nk, takataka zilikuwa kibao. Arsenal mmeanza kusajili vzri labda misimu mitatu iliyopita naeza kubali
  5. W

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hivi mkuu, unaweza kutuwekea hizo records za kuhatarisha au kushtua sana alizopata Baleba kwenye soka ? Kwa ninavyojua mimi, siku nyingi kabisa amekuwa bench sababu ya injury ni approximately siku 30 hivi.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    🔥🔥🔥🔥🔥
  7. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta boyfriend umri kuanzia miaka 25 hadi 30

    🙄🙄🙄🙄
  8. W

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    😄
  9. W

    JamiiForums Tanzania Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    😎😎😎
  10. W

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Me kuacha kuishabikia mmoja wetu afariki tu, ndio ntaacha 😅😅
  11. W

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kama unapitia magumu yoyote na unahitaji kupata mganga, ongea na EtH 😂😂😂😂
  12. W

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mwamba amezaba sio kupiga tena
  13. W

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Propaganda ni nyingi kuliko uhalisia 😁😁😁
Back
Top Bottom