Recent content by wakupampu

  1. wakupampu

    JamiiForums Tanzania UCHAGUZI!! UCHAGUZI WA KUMPATA MAYOR WA JIJI LA DAR ES SALAAM!!

    Hatimae tarehe rasmi ya kufanyika Uchaguzi wa kumpata Meya wa jiji wa Dar es salaam ni jumanne tarehe 22/03/2016. Ukumbi wa karimjee uliopo Posta. Mgawanyo wa wajumbe halali watakaopiga kura kw mujibu wa sheria ni kama ifuatavyo kw kila halmashauri;- Kinondoni 58 Ilala. 56...
  2. wakupampu

    JamiiForums Tanzania Matengenezo ya TV flat kama kubadili kioo kilichovunjika n.k

  3. wakupampu

    JamiiForums Tanzania Natafuta CNC machine

    Pia sido kipawa
  4. wakupampu

    JamiiForums Tanzania Kero ya magari ya takataka

    Ili serikali iyape utaratibu wa kupeleka takataka dampo la pugu usiku wa saa7 badala ya saa2 usiku na kusababisha kero ya harufu mbaya kwenye foleni na kupelekea watu kupata vichefu chefu na kutapika NASHAURI WANANCHI TUCHUKUE MAAMUZI MAGUMU YA KUCHOMA MOTO GARI ZA TAKATAKA ili wajirekebishe kwa...
  5. wakupampu

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuvusha gari eneo la barabara lililofunikwa na mafuriko?

    Hivi unaweza kuvusha gari eneo la barabara lililofunikwa na mafuriko ilihali barabara haionekani? Au hasa ukiwa umesomea usalama wa barabarani?
  6. wakupampu

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Internet ya Halotel Kwa Shule za Sekondari Tanzania

    Halotel wanatumia teknolojia ya 3G nchi nzima ,minara yao ni myembamba inakamba pembeni
  7. wakupampu

    JamiiForums Tanzania Sera za ccm ni danganya toto hawazitekelezi

    kazi ni kujinadi utekelezaji ziro .tumeshadanganywa na kikwete magufuli unakazi nzito
  8. wakupampu

    JamiiForums Tanzania Nisichokielewa kwa Humphrey Polepole juu ya Katiba mpya na UKAWA ni hiki

    umoja wa katiba ya wananchi
  9. wakupampu

    JamiiForums Tanzania Mh. John Magufuli akipokea Malundo ya Kadi za CHADEMA baada ya kuisambaratisha UKAWA

    Nafasi ya Urais sio nafasi ya kupata "kama zari". Hata uwe kiongozi mzuri kiasi gani huwezi kushtukizwa na kupewa mikoba ya nchi kirahisi rahisi tu. Lazima uwe umejipanga, umejiandaa na uko tayari. Hotuba za Magufuli zinadhihirisha kuwa aliingia kwenye kinyang'anyiro kwa kujaribu...
  10. wakupampu

    JamiiForums Tanzania Sakata la Richmond: Dr. Mwakyembe amkaanga Lowassa, Kumburuza Mahakamani...

    Nafasi ya Urais sio nafasi ya kupata "kama zari". Hata uwe kiongozi mzuri kiasi gani huwezi kushtukizwa na kupewa mikoba ya nchi kirahisi rahisi tu. Lazima uwe umejipanga, umejiandaa na uko tayari. Hotuba za Magufuli zinadhihirisha kuwa aliingia kwenye kinyang'anyiro kwa kujaribu...
  11. wakupampu

    JamiiForums Tanzania Vijana kwenye Maandamano ya kumsindikiza Lowassa walipora mali

    Atupe ushahidi
  12. wakupampu

    JamiiForums Tanzania Prof. Safari na Prof. Mkumbo ndani ya EATV usiku huu

    Kitila mkumbo anafuata mkumbo tu
  13. wakupampu

    JamiiForums Tanzania Wasomi na wachambuzi wa kisiasa juu ya Magufuli BBC

    Na kupanda bei kwa nyama? Kupanda bei kwa sukari? Kupanda bei kwa mchele? Eeeh zumbukuku eeeh 😇😇😇😇😇
  14. wakupampu

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015: Kwa mkakati huu wa Serikali, Watumiaji wa Mitandao tutapona?

    Mmmh ujumbe kama harufu ya ushuzi?
Back
Top Bottom