wakupampu
Member
- Jul 30, 2013
- 28
- 41
Hatimae tarehe rasmi ya kufanyika Uchaguzi wa kumpata Meya wa jiji wa Dar es salaam ni jumanne tarehe 22/03/2016. Ukumbi wa karimjee uliopo Posta.
Mgawanyo wa wajumbe halali watakaopiga kura kw mujibu wa sheria ni kama ifuatavyo kw kila halmashauri;-
Kinondoni 58
Ilala. 56
Temeke. 49
Jumla ya wajumbe wte ni 163.
Kati ya hao wajumbe ukawa wajumbe 87.
Ccm wajumbe 76
Kw hiyo kuna tofauti ya kura 11,
Kw lugha nyepese ushindi dhid ya UKAWA ni LAZIMA...
Hivyo basi wanachama/wapenzi/wafuasi wte wa ukawa yaani Cuf, Chadema, Nccr mageuzi na NLD wanapaswa kufurika siku hiyo kutoka viunga vyote vya Dar es salaam kw ushindi huo wa kihistoria..
Njoo na kila aina ya burudani..
Endelea kusanbaza ujumbe huu kw magroup mengne hd cku ya uchaguz....