wakupampu
Member
- Jul 30, 2013
- 28
- 41
Ili serikali iyape utaratibu wa kupeleka takataka dampo la pugu usiku wa saa7 badala ya saa2 usiku na kusababisha kero ya harufu mbaya kwenye foleni na kupelekea watu kupata vichefu chefu na kutapika NASHAURI WANANCHI TUCHUKUE MAAMUZI MAGUMU YA KUCHOMA MOTO GARI ZA TAKATAKA ili wajirekebishe kwa hilo