Wadau wanandinga wenzangu naombeni msaada wa "past papers" za masomo yote, za shule mbalimbali iwe za kata mpaka International zikipatikana. Nina shida ndg yenu ya kuwasaidia wadogo na watoto wetu kwa njia ya Teknohama.
Natanguliza shukrani kwa yoyote anisaidie.
Asanteni!!
Kuna viashiria vya kila aina kwamba Kanisa lina nguvu sana katika siasa za Ulimwengu huu hasa Afrika ambapo nyuma yake kuna ushawishi wa hisani ya msaada na mikopo.
Ila cha kutazama hapo ni namna gani ya kutoka hapo tulipokwama.
Braza kwa kwetu hapa nenda hakuna media iliyo serious kwa Mou nimezunguka kote wanaunga mkono tu kuwa idea nzuri ila katengeneze vipindi tuangalie kwanza kama kuna trend.
Unakuta hatua uliyofika umejibana ili wao nao waweke nguvu ila wazinguaji sana.
Mimi nina mawazo na yameshakuwa katika format,nina kipindi cha TV na nimeshapata airtime TV E.Natafuta mtu aweke pesa kwenye production.
Tutagawana share na kuandikisha mkataba.
0678542435
Mimi ni kijana miaka 30.Natafuta mchumba rangi, umbo, elimu sio kigezo ili awe anajielewa,anajitambua asiwe tegemezi awe mchapakazi.
Kama unaona uko tayari ni pm tuwasiliane. Kwa wale wa masihara plz naombeni mkae kando kwani naamini kuna walioko siriazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.