Natafuta watu wa Kutengeneza Timu ya Film Firm

Man Jau

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
447
654
Habari.

mimi ni kijana wa miaka 27. nimejifunza filamu kwa zaidi ya miaka 3, na nimekuwa na maendeleo makubwa sana. ila nimekosa timu ya watu wenye uelewa huu.

nimekuwa nikitafuta pia vijana wa kujiunga nao bila mafanikio, na kuishia kupata watu wasio na nia ya dhati na Film Production. wengi wanaishia kuuza sura, na ukiwaambia kuhusu kufanya mazoezi wanakukimbia..alafu kwenye kazi, wanakimbilia na kukufanyia makorokocho mbele yako, ambayo hayawezi kukuletea mafanikio yoyote yale..wala portfolio yoyote njema.

ninatafuta vijana wenzangu wa kuweza kuitengeneza Timu ya watu kadhaa wenye uelewa mkubwa na fani hii, ili tuanzishe Firm yetu ya kutengeneza Filamu/Makala zetu sisi wenyewe.

siamini sana katika kuajiriwa na makampuni makubwa, ila naamini sana katika kujiajiri sisi wenyewe, hasa vijana ambao tuna akili na uelewa wa kutosha. si lazima uwe umesomea jambo hilo, bali una nia gani ya dhati na utayari wa kuwa commited na Filamu.

Kuhusu filamu, sifikirii kutengeneza kama zile za akina MSISIRI, bali zile zenye ubora wa ushindani wa Profession kama vile Aisha, na nyinginezo.
namaanisha tunahitaji Production Crew (Producer, Script Writer, Director, Executive Producers, Cinematographers, Make Up artists, Editor, n.k.). watu wa Marketing, Technicians (I.T) na Legal (Lawyer) wapo.

sifa ni kuwa inabidi uwe Loyal na hii kazi..mikataba ipo, mafanikio yakitoka, tunagawana kila mtu na chake, kulingana na mkataba.
Kampuni haiwezi kuanza kama hakuna Timu ya watu wanaojielewa.
Team kwanza, kampuni baadae.
Mwenye nia, nitumie ujumbe inbox (Private Message).

NB: Hii ni moja ya makala niliyowahi kutengeneza, hivi karibuni
 
Lets dream comes true..... mim sijaelewa hongera kwa kujua unachokitaka natumai unahitaji changamoto zaidi ili ufanikiwe kwa wakati.
 
nita kuserve ktk script writing and ict marketing ni pm nashindwa ku pm please
 
Nmekupm mkuu
 
MKUU NSHAKUPM NATAFATA HII KAZI KINYAMA , NINA SHAHADA YA MAMBO HAYA NAMI PIA NINAUZOEFU WA MIAKA 3,
 
Mkuu kama bado upo active na inshu izi zote kwa ujumla movie, script writing,documentary
0678542435
 
Nina draft mbili za script
Unamaanisha nini unaposema DRAFT?! I mean bado inahitaji rewriting and rewriting and.... au ni Final Draft?!

Kama bado inahitaji more and more rewriting basi ningeshauri do it again and again and again manake moja ya kosa letu kubwa Wabongo hatufanyi more and more rewriting na matokeo yake scripts zinakuwa na mapungufu kibao! Hapa tunasahau kwamba script ndo msingi wa filamu!
 
Kuna rafiki yangu mmoja anaitwa Gosbert huyu jamaa yuko very committed, nadhani mnaweza fanya kitu cha maana. Ana movie zake mbili hivi moja amemshirikisha mzee Msisiri (jina sijui km okay) ngj nikuconnect mfanye negotiation
 
Jamaa amepotea kwa hiyo mimi nitawachukua wooote walioonyesha nia. Nahitaji hasa waandishi (script writers). Nitawa PM na wale walioweka namba zao za simu tutawasiliana.

Huyu jamaa naye akirudi naye tutaunganisha nguvu.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom