Natafuta mtu wa kufanya nae kazi

Natafuta mtu wa kufanya nae kazi

WAKUONDOKA

Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
46
Reaction score
24
Mimi nina mawazo na yameshakuwa katika format,nina kipindi cha TV na nimeshapata airtime TV E.Natafuta mtu aweke pesa kwenye production.
Tutagawana share na kuandikisha mkataba.
0678542435
 
Maelezo hayajitoshelezii...ukimaliza kukimbizwa rudi ujazie nyamaa
 
Wakuondoka kaa basi kidogo unapoandika Uzi uwe na maelezo ya kujitosheleza.unaondoka ondoka kila muda hiyo Kazi tutafanyaje
 
Mimi nina mawazo na yameshakuwa katika format,nina kipindi cha TV na nimeshapata airtime TV E.Natafuta mtu aweke pesa kwenye production.
Tutagawana share na kuandikisha mkataba.
0678542435
Kama umepata airtime TVE kwanini usisaini nao MoU ili uwe kama Local Independent Producer na wao wafacilitate airtime na kama idea ni nzuri obvious hutokosa sponsors ambapo mtagawana percentage ya kitakacho ingia?

Kwa taarifa yako ni ngumu sana kwa RAIA kuweka mtaji kwa shughuli asiyo ifahamu faida yake!

The only option ni kuwekana sawa kwenye makubaliano! kwakua television msibgi wake ni airtime..Fanya ufanyavyo hakikusha idea yako ya kipindi umeisajili Cosota!

Nitawashangaa sana kama TVE wakikugomea kwenye hili kwakua msingi Wa kuhamia toka analog kuja digital ni kuchochea watengenezaji huru Wa vipindi..

Na kwa taarida yako kama kipindi kitakua na investigative stories, ama kugusa jamii moja kwa moja..Luna taaisisi hapa nchini zinqtoa grants mpaka mil.200!

Nina experience ya kutosha kwenye field..nitakutafuta!
 
Braza kwa kwetu hapa nenda hakuna media iliyo serious kwa Mou nimezunguka kote wanaunga mkono tu kuwa idea nzuri ila katengeneze vipindi tuangalie kwanza kama kuna trend.
Unakuta hatua uliyofika umejibana ili wao nao waweke nguvu ila wazinguaji sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom