Recent content by Wakulonga

  1. Wakulonga

    Saa chache kabla mtu hajafa

    Utaona ukifa
  2. Wakulonga

    Saa chache kabla mtu hajafa

    Kwa mujibu wa uislam mtu anapokaribia kufariki huonyeshwa matendo yote alofanya katika maisha yake. Kisha huonyeshwa mafikio yake eidha motoni au peponi. Sasa wanasayansi wa leo wame prove hilo Je,wajua kinachopita akilini mwako unapokaribia kufa?-Utafiti Saa 7 zilizopita CHANZO CHA PICHA...
  3. Wakulonga

    Atlanta: Mchungaji na Mkewe wakamatwa kwa kuwafungia Walemavu ndani ya nyumba yao

    Mchungaji mmoja na mkewe wamekamatwa kwa madai ya kuwafungia walemavu katika eneo la chini la nyumba yao. Maafisa wa polisi wanasema kwamba Curtis Keith Bankston , 55, na mkewe walikuwa wakiendesha kituo cha kuwaangalia walemvu bila kibali , katika eneo la Griffin , karibu na jimbo la Atlanta...
  4. Wakulonga

    Research shows the more expensive your wedding, the lower the chances of living 'happily ever after'

    In 1964, Paul McCartney of the Beatles famously sang, “I don’t care too much for money, money can’t buy me love.” While Mr. McCartney’s sentiments were definitely a major foreshadowing of the hippie, free-love movement that was to come in the ‘60s, it appears as though he was also onto a big...
  5. Wakulonga

    Muhudumu wa afya na mwanafunzi wa udaktari (intern) hospitali ya wilaya Kaliua, mkoani Tabora wasimamishwa kazi kwa kufanya mapenzi wodini

    MKUU wa wilaya ya Kaliua Mkoani Tabora Paul Chacha amewasimamisha kazi watumishi 2 wa Kituo cha Afya Kaliua kwa tuhuma za kufanya mapenzi wodini wakiwa zamu usiku. Akitoa taarifa hiyo juzi mkuu wa wilaya hiyo alisema kuwa amechukua hatua hiyo baada ya watumishi hao kulalamikiwa na wagonjwa juu...
  6. Wakulonga

    Video: Marehemu afufuka baada ya miaka 14

    Hatujakataa kama uchawi haupo ndo mana tunasema alifichwa kichawi sio alikufa.
  7. Wakulonga

    Video: Marehemu afufuka baada ya miaka 14

    Nabii Nani huyo kwa faida wengi
  8. Wakulonga

    Video: Marehemu afufuka baada ya miaka 14

    sasa nikuwe mara ngapi, hapo utaambia nabii kamfufua. Najua hicho ndo kinachofuata. Kama mpaka umri huu nilio nao sijawahi ona mtutu akifufuka bas sitakaa nikiiona hilo. Huyo alikuwa hajafa alikuwa chumbani kafichwa
  9. Wakulonga

    Video: Marehemu afufuka baada ya miaka 14

    Hajawahi kufa mtu akafufuka,
  10. Wakulonga

    Mwanamke amkata mumewe Korodani akidai hazina faida

    Nenda nayo au hata same wapo maana walishawhi kulalamika wanawake wa same
  11. Wakulonga

    Mwanamke amkata mumewe Korodani akidai hazina faida

    Mimi naijiuliza yeye kajuaje kama hamridhishi au anachepuka na kalinganisha flavor
  12. Wakulonga

    Mwanamke amkata mumewe Korodani akidai hazina faida

    Mwanaume mmoja nchini Kenya aitwaye Meme Kabati mwenye umri wa miaka 56 amelazwa Hospitali ya Nyambene Kaunti ya Meru baada ya Mkewe Karambu Meme, kumvuta na kuikata korodani yake moja kwa madai ya kwamba korodani hizo hazina faida kwakuwa Mumewe hajawahi kumridhisha kimapenzi kitandani hata...
  13. Wakulonga

    Tanzanian Beggar Jailed for 30 years in Kenyan Prison

    Hatuna watz wa hivo! Labda bado hujawajua watu wa Nyayo ndo mana unasema hivo au wewe ni mtu wa nyayo ndo mana unang’ang’ania kuwa ni mtz
Back
Top Bottom