digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,398
- 22,941
Maajabu!!! mama aliyefariki mwaka 2008 na kuzikwa amepatikana akiwa hai, ndugu wanadai kuwa baada ya kumuona akiwa hai ilibidi waende hospitali kufanya vipimo vya DNA ili kuthibitisha kuwa ni yeye.
Inadaiwa kuwa alikuwa Ngamboshi akitumikishwa kazi ngumu!!
Nitaendekea kuwapa updates,kwani ndugu wanafuatilia kibari cha polisi ili kufukua kaburi lilitumika kumsitiri Marehemu
Inadaiwa kuwa alikuwa Ngamboshi akitumikishwa kazi ngumu!!
Nitaendekea kuwapa updates,kwani ndugu wanafuatilia kibari cha polisi ili kufukua kaburi lilitumika kumsitiri Marehemu