Babu huna haja ya kufanya jazba, njoo na fact na source za keleweka tu sisi tutakuelewa! NSSF wana regional office 23, 14-district level branches na substation 14,...ambapo tally yake ni haifiki hata 60 ukiweka na mpya labda hazijafunguliwa. hata wakichukua operational officer 2 kila office...