RAV 4 Yateketea kwa moto Salender Bridge

RAV 4 Yateketea kwa moto Salender Bridge

Ilikuwa ndio inatoka bandarini, haina registration, wala insurance.
 
Ilo litakuwa lingine,lenyewe jeupe

Sio nyeupe, utakuwa colour blind
 
pengine gari limetoka service juzijuzi nway kwa vile umeme wa magari tumelazimisha wakajifunze form four waliokimbilia veta kitaeleweka tu :A S confused::A S confused::sad::sad:
 
Wadau,

Mida hii niko mishemishe yangu mitaa hii ya Salender Bridge mbele ya Ubalozi wa Urusi nimeshuhudia Rav 4 Nyeupe ''Kilitime'' inateketea mwanzo mwisho naamini hakuna kitu alichoweza kuokoa huyo aliyekuwa akiendesha.Fire wamekuja wakati moto umeshazimika wenyewe.Dereva wakati anashuka ameonekana kuchanganyikiwa kwani hata ile akili ya kwenda ku-disconnect battery hakupata.

Hapo nikapata wazo jinsi ambavyo huwa tunatozwa hele ya Fire tunapoenda kukata Road Licence matokeo yake tunaishia kuhonga Ma-traffic tunapokuwa hakuna nyenzo za kuzimia moto.Badili tabia.

10171194_10202736447923653_8236058318834935257_n.jpg

Rangi Nyeupe? Siku hizi wabongo wengi hawatambui rangi za Magari...
 
Hii ndo bongo zima moto imewahi kufika mpira/pipe ikapasuka kuna nn tena hpo kama c kukaa na kushuhudia mwanzo wa chuma chakavu. Pole sana mhanga..kama ndo ulianza kulipia kikopo au hujaanza hata kukatwa kikopo roho na kifua vinakuhusu.!
 
kasema gari ni ya kilitime kwa maana ni gari ya kilimanjaro beer.

Naye kilitime ni owner!!!! Tatizo madereva wanaajiriwa hata kozi ya masuala ya moto hawana!!!! Angekimbilia kuchomoa nyaya za battery huku akiachukua fire extinguisher!!!!
 
Wadau,

Mida hii niko mishemishe yangu mitaa hii ya Salender Bridge mbele ya Ubalozi wa Urusi nimeshuhudia Rav 4 Nyeupe ''Kilitime'' inateketea mwanzo mwisho naamini hakuna kitu alichoweza kuokoa huyo aliyekuwa akiendesha.Fire wamekuja wakati moto umeshazimika wenyewe.Dereva wakati anashuka ameonekana kuchanganyikiwa kwani hata ile akili ya kwenda ku-disconnect battery hakupata.

Hapo nikapata wazo jinsi ambavyo huwa tunatozwa hele ya Fire tunapoenda kukata Road Licence matokeo yake tunaishia kuhonga Ma-traffic tunapokuwa hakuna nyenzo za kuzimia moto.Badili tabia.
Duuh nimecheka kweli but sometime kwenye kipindi kigumu watu huchanganyikiwa hasa ukizingatia asilimia kubwa wananunua gari kwa pressure za marafiki na ndugu wengine hivyo wengi wao unakuta amedunduliza kweli sasa likiwaka kama hivyo ni balaa alafu bima third party hapo lazima uchanganyikiwe (tunahitaji kujifunza art ya ku-relax hata kama kitu kikubwa kimetokea ili tuweze kufanya maamuzi sahihi)

Ila hapo kwenye fire extinguisher wengine hata namna ya kutumia inakuwa shida, tatizo kulipia huduma ya zimamoto kwenye road licence ni sehemu ya serikali kukusanya mapato tu wala hawajihangaishi hata kutoa elimu kwani nina amini watu wengi wenye magari namna ya kutumia ile fire extinguisher ni shida kwao. Kuna haja watu wakilipia kuwe kuna siku maalumu mara moja kwa wiki kwa wale wanaotaka kikosi cha zimamoto kiwe kina mitungi hata miwili kwa ajili ya demonstration kwa wateja wao na si huu utaratibu wa kukusanya mapato tu alafu elimu hawatoi.
 
Back
Top Bottom