Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 9,431
- 8,916
Mkuu ni sawa.
Kinachonishangaza mimi, ni ile kutaka hadi kuwaua(hata hivyo kifungo cha maisha ni sawa tu na kuwaua)
Mamlaka ya kuua kuimbe cha Mungu unayapata wapi, hivi kubetray culture ni kosa lenye uzito wa kustahili kifo!?
Tunatakiwa tuwabane wazungu nao kwao wazitambue na kuzihalalisha mila za kiafrika kama polygamy n,k. na sio kufungana jela kwa sababu za kipuuzi tu.

Mkuu binafsi naamini hatuwezi kuharibu utu wetu eti kwasababu ya kuhofia kujenga mahusiano mabaya na wahisani, na kwa upande wangu me naendelea kuamini kwamba Human Rights should be culturall relative and not universal so Human rights should be interpreted within diferent culture kama ambavyo wao wanaamin kuwa baadhi ya mila nyingi za kiafrika ni mbaya ndivyo na waafrika nao wanaamini baadhi ya mila zao (kama ushoga) ni mbaya. So binafsi me naamin ishu nnzima ya haki za binadamu inatakiwa iendane na utamaduni wa sehemu husika yaani kama ilivyo kuwa kwa Obama na Cameroon David ushoga ni utamaduni wao basi waendele kuupromote katika nchi zao kama haki za binadam na si kulazimisha nchi za kiafrika ziendelee kuamini utamaduni wao.
By the way mbona huu ushoga hawaupigii kelele katika nchi za Asia kama Saudia, Irani na nyinginezo kwanini wang'ang'anize tu kwa nchi za Kiafrika?