Nyie wote ndo hamjui chochote wanahitajika watu 227, nssf wanaofis nchi nzima na kila ofis lazima iwe na operations officers wasiopungua 2 full stop!
acha ujinga hakuna ubaguzi wewe vp mbona mnachuki waziwaziyaani unataka ndugu na jamaa zako tuu ndio wapate?...eeh mungu usiwapitishe ndugu na jamaa wa huyu mbaguzi..Ameen!