Recent content by wakojako

  1. W

    Female Body Shapes - Which One Is Yours Here?

    ila izo shape wakati mwingine mi nadhani ni kujitafutia magonjwa ya moyo tu.maana ni sawa na mti uliosheheni matunda kila mtu ataokota jiwe. Aa ya nini yote hayo...kitu normal tu ila mashamsham kwa sana. :nono::nono::nono::nono::nono:
  2. W

    Helen Kijo-Bisimba; Dalili ya kutokea mauaji ya kimbari nchini Tanzania!

    hapo mama amenena,wala sina la kuongeza.ila simuamini sana kwani sikumuelewa ktk sakata la madaktari kutokana na yeye kutozitambua haki za wananchi wasio na hatia (wagonjwa) kwa kuwa mstari wa mbele kuhamasisha mgomo. ili shwari :yaliyopita si ndwele....., safisha file. :A S 39::A S 39::A S 39:
  3. W

    Lwakatare aachiwa huru kisha kukamatwa hapo hapo kwa kosa lingine

    inavyo onekana haya masuala ni kweri ya kutengeneza? nini sasa maana yake. hapo sina neno wanajf.
  4. W

    Ukweli kuhusu kujenga ukweni.

    mhm///hilo nalo neno. mbona kazi tunayo Lakini ukiwa kauzu napo utalambwa tu:A S 39:
  5. W

    hivi ni kweli hawa wazungu wa udsm....ni kweli wametoka makwao kuja kusoma hiki chuo

    Ninavyojua ni kwamba,tafiti nyingi hufanyika africa,na maeneo tulivu hupendwa sana. Lakini pia huenda nao wapo hapa kutokana na ukata////
  6. W

    CHADEMA yatikisa Mwanza, Furahisha pamekucha

    duh.. wazee naona wamefunguka balaaaaaa....Ivi ratiba yao ikoje ili na wengine tujiandae kupokea huo moto?
  7. W

    Mkenya kaniuliza swali!

    Mi nadhani ungefunguka tu kuwa,yeye huenda hajaona cha kujifunza ama kuchukua kutoka tanzania.Hivyo hakuna cha kumrazimisha kuijua.lakini ninavyomjua mkenya anajiona yuko juu africa mashariki.huo ndio ukweli.:A S 39:
  8. W

    Tafadharini iambieni serikali iwaachie uamsho,imwachie Ponda na Mukadam kwa salama ya nchi

    kweli tumechoka.Heri wazee wetu wa zamani waliojitengenezea misingi na kuishi kwa aman,mustarehee.sasa leo duh... :nono:
  9. W

    Kila mtu ana starehe yake

    Stress tu za maisha.Hakuna lolote:confused2:
  10. W

    Wanafunzi Chuo Kikuu Mlimani Wanaenda Twisheni

    huenda mi nikawa na mtizamo tofauti kidogo na wadau wangu waliotangulia, ivi dent atakapoona mambo hayaendi darasani na akaamua kuingia kwa mdau anayefundisha tiution tena kwa gharama binafsi sidhani kama amekosea kwakua wengine wana mapokeo tofauti na makundi ya kujadili.pia utakuta kundi hili...
  11. W

    Serikali kandamizi husababisha uasi ndani ya nchi - Godbless Lema

    ukweli kuwekwa bayana sio jambo baya,tena ni jukumu la kila mtanzania kuakikisha gurudumu hili linasonga mbele kwa kufanya mambo ama maboresho katika masuala ambayo yanaonekana kuwa ukuta katika kuboresha huduma kwa jamii.suala ninaloliona hapa mbele ni utambuzi tu kwani mtanzania wa leo sio wa...
  12. W

    January Makamba na Henry Shekiffu walinikimbia kwenye mahafali!

    Inaonekana wazi hoja hiyo inatokana na hisia binafsi,kwani ukweli kuhusu kutokufika kwa hao waalikwa haujautambua.sasa sijui unataka maoni gani? Au na sisi tuanze kuhasi kama wewe/////
  13. W

    Polisi kufunguka leo kuhusu kilichomkuta Dk Ulimboka

    Huenda Dk ulimboka akatoa mambo.ila kimya chake ndicho kinachinifanya nikose cha kuzungumza.lakini ngoja tusubiri.
Back
Top Bottom