Female Body Shapes - Which One Is Yours Here?

Female Body Shapes - Which One Is Yours Here?

hahahahaha.......uwiiiii.....cha msingi uwe na msimamo tu unataka mtu wa aina gani.
Vipi unaendelea kukazana huko Kimara? Nitakuja unitafutie mtu wa Apple nasikia huko wapo wengi.
 
View attachment 87632
NA HIZI WATAALAMU WATWAMBIE!Niaina gani???:tape2:

attachment.php


Ha ha haaaaaaaaaaa! Somo la uchoraji darasa la 5! Ha ha haaaaaaaa! Nimeupenda mguu wa kinyakyusa! Lol!
 
Ivi kumbe shapes zina majina....bhaasi sawa nafikiri type yangu nimeiona
 
ila izo shape wakati mwingine mi nadhani ni kujitafutia magonjwa ya moyo tu.maana ni sawa na mti uliosheheni matunda kila mtu ataokota jiwe. Aa ya nini yote hayo...kitu normal tu ila mashamsham kwa sana.

:nono::nono::nono::nono::nono:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom