Recent content by Wakipekee

  1. Wakipekee

    JamiiForums Tanzania Mabilionea uchwara wa Zimbabwe ni maarufu sana bongo kuliko bilionea halisi

    Ndo maana halisi ya aibu utaona wewe au sio
  2. Wakipekee

    JamiiForums Tanzania Nilivyoanza Biashara ya Tofali bila kujua nitakachokutana nacho

    Ukitumia pumba za mpunga ndo uhakika kwanza tofali zinaiva vizuri sana halafu hazipqsuki na hauteseki kwenye kuchochea... hapo tofali 30k unaweza panga 6k so ni kama 5 za pumba ila kuni hapo ni tanuru 2 tu
  3. Wakipekee

    JamiiForums Tanzania Wazee wa TV Series: Unaambiwa hizi ndio Best TV Series hadi sasa kwa Karne ya 21

    Into the badlands pia sijaiona
  4. Wakipekee

    JamiiForums Tanzania Movie/series ipi ni addictive ?

    Ni ufalme ni kama spartacus
  5. Wakipekee

    JamiiForums Tanzania Movie/series ipi ni addictive ?

    Kama unapenda za kivita japo zingine n za kitambo kiasi... 1. Saving private Ryan 2. Lone survivor 3. Come & see 4. Full metal jacket 5. Black hawk down Za kipigo 1. The Raid 2. Undisputed 4 3. The man from nowhere 4. Brawl in Cell Block 99 5. Eastern Promises Za kijasusi 1. Casino Royale...
  6. Wakipekee

    JamiiForums Tanzania Nimepata wazo la kulima

    Lazime upige kama kamilioni bee hivi na ushee baada ya mwezi
  7. Wakipekee

    JamiiForums Tanzania Nilivyoanza Biashara ya Tofali bila kujua nitakachokutana nacho

    Da pole sana 😂😂😂 Ni kweli lakini kwa mtu ambaye hana mtaji wa kuwekeza tofali za block anawezaje kufanya
  8. Wakipekee

    JamiiForums Tanzania Nilivyoanza Biashara ya Tofali bila kujua nitakachokutana nacho

    Da pole sana 😂😂😂 Ni kweli lakini kwa mtu ambaye hana mtaji wa kuwekeza tofali za block anawezaje kufanya?
  9. Wakipekee

    JamiiForums Tanzania Nilivyoanza Biashara ya Tofali bila kujua nitakachokutana nacho

    Milion 4 nyingi sana moja na nusu tu unakimbiza vizuri tu kikubwa ujue unachokifanya...
  10. Wakipekee

    JamiiForums Tanzania Nilivyoanza Biashara ya Tofali bila kujua nitakachokutana nacho

    Za block zinazipa zaidi ila hiyo n project kubwa maana uwe na machine.. mchanga saruji.. vibarua na maji ya uhakika
  11. Wakipekee

    JamiiForums Tanzania Nilivyoanza Biashara ya Tofali bila kujua nitakachokutana nacho

    Inategemeana na kasi ya upigaji pia idadi ya wapigaji kwa mfano kwa siku mtu anaweza kupiga tofali 500 so wakiwa wanne n 2000...
  12. Wakipekee

    JamiiForums Tanzania Nilivyoanza Biashara ya Tofali bila kujua nitakachokutana nacho

    Habari wanaJF... Oke! Baada ya salamu nirudi kwenye mada yangu, jinsi gani biashara ndogo ya tofali ilivyonipa faida kubwa kwa jasho na damu. Miezi kama minne nyuma nilipata idea ya kuuza tofali za kuchoma. Hii idea ilikuja baada ya kuteseka sana kupata tofali wakati wa ujenzi wa nyumba...
Back
Top Bottom