Recent content by wakikosi

  1. wakikosi

    JamiiForums Tanzania Siku ya Redio Duniani: Unasikiliza Redio gani kila mara?

    Sijasikiliza radio miaka mingi sana,inafika miaka 10
  2. wakikosi

    JamiiForums Tanzania Msaada; Tv za kichina nzuri ni zipi?

    Kuna TV za Mo Dewj zinaitwa Maisha,hizo ziko poa sana zina picha nzuri lakini pia zina vipoozeo vya umeme kwa ndani. Ninayo ndani kwangu wala sijutii
  3. wakikosi

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa airtel utufidie hasara wateja wake

    Karibu Dar nzima,maana asubuhi nilikuwa Mbagala na mchana na jioni nipo Ununio,Kawe huku hali ni hiyohiyo
  4. wakikosi

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa airtel utufidie hasara wateja wake

    Leo 20 January mtandao wa airtel umekuwa down kabisa, sms haziendi, Internet imegoma na huduma za airtel money zimekuwa chini sana ku process. Yaani nimepata hasara sana leo pia nimeshindwa kuwasiliana nipo pande za Dar hapa. Airtel mtufidie wateja wenu kwa usumbufu huu
  5. wakikosi

    JamiiForums Tanzania Watanzania tujifunzeni kiarabu

    Ukitaka kutambika au kuongea na mizimu ya kichagga sharti uongee kichagga ndipo inakuelewa vilevile kwa mizimu ya kigogo,kihehe etc Napata mashaka na hiki kiumbe kinaitwa Allah kwa nini lazima uongee kiarabu tu ndipo unawasiliana nae??
  6. wakikosi

    JamiiForums Tanzania Walimu kumbukeni hakuna mshahara mwingine mpaka tar 22 ijayo

    Mimi ni mwalimu lakini sijawahi kukopa mahitaji dukani kwa mangi au muha tangu nianze kazi mwaka wa 9 huu. Na maisha nayapeleka fresh tu watoto wanasoma shule za watakatifu
  7. wakikosi

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara wa Madini awatawanya wanakijiji kwa risasi kisa ardhi

    Taarifa nzuri lakini ndefu sana
  8. wakikosi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawezaje kuachana na mwanaume mbabe anayeniingilia kinyume?

    Wewe ni tapeli tu. Na wala sio mwanamke
  9. wakikosi

    JamiiForums Tanzania Reli ya TAZARA taabani

    Kazi ipo
  10. wakikosi

    JamiiForums Tanzania Reli ya TAZARA taabani

    Nafikiri tunapoteza mihela tu hata reli ya mwendokasi haitakuwa na tija wala faida kwa mienendo ya watanzania
  11. wakikosi

    JamiiForums Tanzania Reli ya TAZARA taabani

    Usafirishaji wa mizigo, abiria pamoja na utoaji wa huduma kwenye reli ya TAZARA ni kama umekufa au upo kwa kiwango cha chini sana. Lengo la Mwl Nyerere kujenga reli ya TAZARA ilikuwa kurahisisha utoaji wa huduma za Usafiri wa binadamu na mizigo baina ya Tanzania na nchi ya Zambia lakini hadi...
  12. wakikosi

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Unyanyasaji kwa Walimu wanaofundisha shule ya St. Matthew

    Mimi kama mzazi nina mtoto anasoma primary hapo St Matthews changamoto ni kuwa wale walimu wa zamani wazoefu kwa ngazi ya primary wameondolewa wengi na kwa sasa kuna walimu wapya ambao wana struggle ku copy na hali ya wanafunzi
  13. wakikosi

    JamiiForums Tanzania Kisiju mkoani Pwani watu wanaswali kuliko kazi

    Watu wa mkoa wa Pwani ni wa ajabu Nilipeleka TV kwa fundi aitengeneze,muda wa masikini ukafika fundi akaacha TV yangu akaenda masikini kuswali. Huku nyuma watoto wakaja ofisi haina mtu wakavunja TV yangu kioo kwa jiwe. Da nafika kwa fundi baadae nichukue TV yangu ananiambia alienda masikini...
  14. wakikosi

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya Botswana na Niliyoyaona huko

    Mimi ndio nimezaliwa hapa hapa bongo na hadi leo Mwanza tu sijawahi kufika,napaona kwenye TV tu. Life is not fair
Back
Top Bottom