Mtandao wa airtel utufidie hasara wateja wake

wakikosi

JF-Expert Member
Feb 28, 2015
1,354
1,483
Leo 20 January mtandao wa airtel umekuwa down kabisa, sms haziendi, Internet imegoma na huduma za airtel money zimekuwa chini sana ku process.

Yaani nimepata hasara sana leo pia nimeshindwa kuwasiliana nipo pande za Dar hapa.

Airtel mtufidie wateja wenu kwa usumbufu huu
 
Yani ndicho kimenitokea mimi toka asubuhi msg zinafail, internet iko down, calls hazitoki
 
Nili hamaga huwo mtandao zamani sana,

Kuna siku hiyo sito sahau, D wangu amenipigia halafu kwake akapokea mwanaume, halafu na mie nilivyo pokea akapokea mwanamke.

Sindio uchonganishi mwenyewe Mara ukimpigia mtu, hapatikan na yuko hewani kabisa message zinafika baada ya siku mbili.
🤣🤣🤣🤣🤣
 
nahisi na location pia zinapishana matatizo. mi natumia airtel siku nzima hakuna jambo lolote limekwama
 
Back
Top Bottom