Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,304
- 29,837
Mishahara yenu ni midogo sana haiwezi hata kununua nguo Kariakoo tafadhari saana nunueni chakula tuu,nunueni maharage, mahindi na mafuta basiii ili msife na kulala njaa. Tumechoka kuona majina yenu Kwa kimaro kila siku mnakopa mpaka dagaa za fungu la Mia tano
Kwasababu nyie hamna nia ya kuwa na maisha ya kawaida Bali mmeona niwamaisha ya kimasikini tu basi kuweni na akili ya matumizi maana huo mshahara ni against kabisa na sheria za ILO ila nyie hata hamuwazi maana akili zenu zimefreez