Recent content by wake up

  1. wake up

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi makubwa sekta ya Utalii. Kuna mtu ana swali juu ya Royal Tour?

    Na lengo ni kumfurahisha mama.. Yaani kama mm ni kiongozi sijui uniambie tumefikia takwimu hizi
  2. wake up

    JamiiForums Tanzania Kwanini usipokuwa na hela njaa inauma tu wakati wote?

    Hofu na wasiwasi ni mbaya sana..
  3. wake up

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Dar: Abiria wateseka kwenye foleni kusubiri mabasi ya mwendokasi Kituo cha Mbezi Mwisho

    Mbezi ni 1250 sio750 hiyo ni kuanziakimara..
  4. wake up

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilitiwa aibu ugenini sitasahau

    Hata ujitetee vipi wewe bado ni kikojozi tu.
  5. wake up

    JamiiForums Tanzania Upigaji wa Fedha za Umma mamlaka zimeshindwa kuzisimamia au wapigaji wanashirikiana na mamlaka?

    Watanzania wengi ni wezi ukiwakabidhi ofisi tu kama hauna sheria nzuri umekwisha.. Umasikini na malezi ndio sababu..
  6. wake up

    JamiiForums Tanzania Taarifa mpya ya NHIF kuhusu Toto Afya Kadi

    Kabisa ni kama wa watumishi wa serikali tu..
  7. wake up

    JamiiForums Tanzania Taarifa mpya ya NHIF kuhusu Toto Afya Kadi

    Hii nchi hii sasa wa miaka 1hadi 4 watapata wapi..?
  8. wake up

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi yakataa ombi la Simba kutumia Chamazi.

    Kipindi wanauchagua kama uwanja wao hawakulijua hilo mapema.
  9. wake up

    JamiiForums Tanzania Niokoe niiokoe familia yangu

    Amina. Thanks
  10. wake up

    JamiiForums Tanzania Niokoe niiokoe familia yangu

    Asanteni wote kwa kunitia moyo Ni hard situation haielezeki kabisa..
  11. wake up

    JamiiForums Tanzania Niokoe niiokoe familia yangu

    Habari za wakati huu? Niende moja kwa moja kwenye jambo langu kwanza nikiri kwamba mm sio mgeni humu Jf ni member kwa miaka zaidi ya 8 na id yangu inafahamika ndio maan nimeona ili niwe huru zaidi nitumie id mpya kabisa. Jamani sababu iliyonileta kwenu ni kuomba ushauri na msaada hasa wa kazi...
Back
Top Bottom