Recent content by wabusenga

  1. wabusenga

    Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

    Ukikosea ni vema uwe muwqzi kama lengo ni kusahihisha. Kuficha kosa maana yake unataka kuendelea kukosea. Unadhani wazazi hawana msaada? Kama ulikosea na unataka wasijue kosa lako huoni unawakosea zaidi? Sent from my HUAWEI G525-U00 using JamiiForums mobile app
  2. wabusenga

    Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

    falling down is an accident, remaining down is a choice! Sent from my HUAWEI G525-U00 using JamiiForums mobile app
  3. wabusenga

    Nyumba kujengwa mita 500 kutoka usawa wa bahari inamaanisha nini?

    Duh! Mimi nikajua unakuja na suluhisho la mtoa mada, kumbe wewe ni darasa la kwanza katika hilo? [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  4. wabusenga

    Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa

    Mustakabali wa maisha yako unao wewe mwenyewe! Hakuna ruhusa ya kukata tamaa! Hiyo ni dhambi kubwa sana. Kukata tamaa huongoza katika maamuzi ya ajabu na yenye majuto. Kumbuka kila mtu katika safari ya maisha ana njia yake mwenyewe na hakuna kufanana. Walioolewa wameolewa ni kweli. Wewe endelea...
  5. wabusenga

    Sitasahau siku niliposhuhudia rafiki yangu akimezwa na chatu

    Lakini amesema kuwa alipatwa na mshiruko na kupoteza fahamu! Kwa vyovyote baada ya alipozinduka, yule chatu alikuwa tayari ameshamuua huyo rafiki yake kwa kumvunja vunja mbavu.
  6. wabusenga

    Wanaume wanaopenda wanawake wenye maumbo mazuri

    Tabia haiko katika mwili na wala siyo hia. Hata mhusika kwa kawaida huwa hana jambo la kufanya ili aweze kubadilisha tabia yake. Kwa kawaida tabia ziko mbili tu (nzuri na mbaya) na kila 1 inakuwa controlled na mhusika fulani! Nzuri controller wake ni Mungu na mbaya controller ni shetani. Sura na...
  7. wabusenga

    Wanaume wanaopenda wanawake wenye maumbo mazuri

    Tabia zinazobadilika ni kwa sababu wenye tabia hizo kuna mambo waliyoyatarajia katika kumua kuoa/kuolewa kwao. Matarajio yanaposhindwa kufikiwa ndipo kinajitokeza hicho unachokisema kubadilika tabia.
  8. wabusenga

    Wanaume wanaopenda wanawake wenye maumbo mazuri

    Tabiq iko ki naymbile! Unawezaje kum- control mtu aliyeunbwa ba tabia dulani? Anayebadilisha tabia ni Mungu tu. Akikushinda kum control matokeo yake unakimbia mji na kishia kuwa na stress!
  9. wabusenga

    Wanaume wanaopenda wanawake wenye maumbo mazuri

    Maumbo hubadilika kwa sababu anuai. Inawezakuea ugonjwa, umri nk. Sasa hapo utafanyaje au ndio wale wanaooa hadi saa 12?
  10. wabusenga

    Pesa za mitaji hizo vijana kachukueni

    Binafsi mm nimependa sana taarifa hii. Kweli watu tunahangaika sana na mitaji na jinsi ya kuipata. Asanye sana mkuu kwa uzi huu.
  11. wabusenga

    Rais Magufuli afuta safari ya UN General Assembly

    Hata kama mtu ameongea jambo ambalo halikufurahishi, sidhani kama kumwita binadamu mwenzako kenge ni sahihi. Hivi kweli wewe ulishawahi kujibishana na kenge kwa jambo lolote! Tujitahidi kutumia lugha za kiungwana jamani.
  12. wabusenga

    Wahaya kwa mbwembwe

    Nadhani kuna tatizo la ki ufundi kabika chanzo cha wazo hili! Siamini…
  13. wabusenga

    Air Tanzania signs MOU with Russia's Irkut over MC-21

    Kafanye window shop kisha ulete bei
  14. wabusenga

    Air Tanzania signs MOU with Russia's Irkut over MC-21

    Nimekuelewa vizuri mkuu
  15. wabusenga

    Maxcom and other Electronic Payments scam

    Hakuna mtu asiyekosea! Hatuwezi kutumia udhaifu wa ki asili kuwadhulumu watu haki zao. Kila mtu anapenda kuwa extra careful, nature inatufanya kushindwa. Jambo muhimu ni kuwa waaminifu tu.
Back
Top Bottom