sasa morogoro kuna bahariUsawa wa bahari ndio 0 ukijenga mita 500 kutoka usawa wa bahari anamaanisha kutoka bahari ilipo ni mita 500..ngumu kuelewa kama hujasoma geography
sasa morogoro kuna bahari
Duh! Mimi nikajua unakuja na suluhisho la mtoa mada, kumbe wewe ni darasa la kwanza katika hilo?Hahahahahaa wale wazee wa kupima Iq nileteeni mrejesho kuhusu swali hill maana no swli la darasa la tatu kabla mtoto hajasoma ile maarifa ya jamii kuhusu mistar ya kontua ambayo inahusu mwinuko kutoka usawa wa. Bahar
Let's imagine ndugu ana miaka 24 swali miaka 9 hebu njoon na majibu
Maana yake ni hivi; Endapo utaihamisha hiyo nyumba kutoka mahali ilipojengwa hadi baharini, bila kupoteza radius yake from center of the earth, basi itaenda kusimama mita 500 juu ya uso wa maji ya bahari.
View attachment 464275
Pole weeee?sasa morogoro kuna bahari
Hata mlima Kilimanjaro hupimwa hivyo hivyo. Hata nchi zisizo na bahari hutumia vipimo hivyo hivyo.Eneo lipo juu mita mia tano kutoka usawa wa bahar
Narrow thinking!sasa morogoro kuna bahari
Mkuu una uhakika gani kama amefikiri?Narrow thinking!
Hahahaaasasa morogoro kuna bahari
Fine...Hahahaaa
Usawa bahari sio lazima kuwepo na bahari hilo eneo.
Bahari ndo huchukuliwa kama reference point ya kupima height kutoka chini kwenda juu,
Pale unapogusa maji ( water surface) ndo zero hapo ukianza kuinuka juu unahesabu kipimo chako(height) katika mita.
Hiyo reference ni World wide accepted kupima urefu wa milima eg Mt. Kilimanjaro 5895m kutoka usawa wa bahari, majengo etc