Wanaume wanaopenda wanawake wenye maumbo mazuri

Kwani hakuna wenye maumbo mazuri wenye tabia njema?
Kila mtu na awe tu na ambae nafsi na moyo wake umemridhia na aonae kwake ni sahihi.
 
Tatizo mwanaume haanz kupenda...wanataman na kuvutiwa na kitu fulan kwa mwanamke.na ukijua alichopendewa kwenye umbo lako hicho kitunze ..mwanaume kupenda kunafuata baada ya kuvutiwa au kutaman kitu fulan kwenye umbo la mwanamke
 
Umbo linahusika sana mkuu.. unaeza ukahindwa kusimamisha mashine kisa umeoa mke anafanana na Shomali!!
 
Umbo ni sehemu ya vigezo mama huwezi kuwa na mtu ambaye tumbo lake halikuvutii hata siku moja, halafu unatakiwa kutambua kuwa kabla ya kupenda tunaanza kutamani sasa huwezi tamani kisichokuvutia, kikikuvutia ndio unaanza kufuatilia kama kinakufaa
Maumbo hubadilika kwa sababu anuai. Inawezakuea ugonjwa, umri nk. Sasa hapo utafanyaje au ndio wale wanaooa hadi saa 12?
 
Alafu isitoshe tabia unaweza m control tu akakaa kwenye mstari.
Hakuna mwanamke alozaliwa akiwa na tabia mbovu ila wanaiga tu.
Tabiq iko ki naymbile! Unawezaje kum- control mtu aliyeunbwa ba tabia dulani? Anayebadilisha tabia ni Mungu tu. Akikushinda kum control matokeo yake unakimbia mji na kishia kuwa na stress!
 
Maumbo hubadilika kwa sababu anuai. Inawezakuea ugonjwa, umri nk. Sasa hapo utafanyaje au ndio wale wanaooa hadi saa 12?
Kama maumbo yanabadilika unashindwaje pia kujua kuwa tabia zinabadilika kulingana na mazingira? Wangapi tumewasikia wakiwasifia wapenz kwa tabia nzuri na baadaye kubadilika? Je akibadilika tabia utaenda kutafuta mwingine?
 
Tabia zinazobadilika ni kwa sababu wenye tabia hizo kuna mambo waliyoyatarajia katika kumua kuoa/kuolewa kwao. Matarajio yanaposhindwa kufikiwa ndipo kinajitokeza hicho unachokisema kubadilika tabia.
 
Kama maumbo yanabadilika unashindwaje pia kujua kuwa tabia zinabadilika kulingana na mazingira? Wangapi tumewasikia wakiwasifia wapenz kwa tabia nzuri na baadaye kubadilika? Je akibadilika tabia utaenda kutafuta mwingine?
Tabia haiko katika mwili na wala siyo hia. Hata mhusika kwa kawaida huwa hana jambo la kufanya ili aweze kubadilisha tabia yake. Kwa kawaida tabia ziko mbili tu (nzuri na mbaya) na kila 1 inakuwa controlled na mhusika fulani! Nzuri controller wake ni Mungu na mbaya controller ni shetani. Sura na maumbo zinaweza hata kwa kienyeji tu mtu aweza kuibadili.
 
Mwanamke asiyenisisimua kwa urembo, aisee hapana.
 
Hivi pale wanaume wnapo ngangana kutafta mwanamke mwenye umbo zuri wanakuwa wanamanisha nini?.
mwanaume anakutokea kisha anasema nimeoenda umbo lako hivi unategemea ilo umbo ndo litakupatia mke mwema mnae shinda mnaomba makanisani?
Unachotakiwakuangalia angalia je mke ataweza kuwa na hekima kutunza familia atamjua mme atanilelea watoto ikiwa imenitokea tatizo atajua tule nini watt waendeje shule namie nipateje msahada kutoka katika tatizo,

na je mke huyu anaweza kuangalia ndg zangu au ni mbinafsi watu hawajui hilo utakuta umbo, kwahiyo uko radhi uwe namke kibrudisho katika macho kumbe ndani kaoza hajui nyumba hajui familia yeye ni kutanga na njia ili akasifiwe umbo sawa nayo ni mapambo

ila tuangalie vitu vinavyo kufanya uwe naheshima pale unapo taka kujenga familia au kupiga atua katika kukutofautisha yaweza mtu akawa na umbo mna watoto wakirudi shule hajui watoto sale za shule safi ziina vishikizo watakula nini homework wamefanya yuko kuzurura mpaka baba nataoke katika majukumu kuangalia watoto,

ndo mana mie mtu akinambia una umbo zuri nimelipenda penda mengine sio umbo je umenikuta na minyama unaliona umbo nikikonda utanikimbia hivyo kuna mtu anaweza akampenda mtu kwa unene je akikondautamkimbia ua umempenda akiwa mwembamba akinenepa utamkimbia .tusikrupukentuangalie mambo yanayo weza kumjengea mtu utu sio kutafta sifa .
Picha zinahitajika kukamilisha somo
 
Inaelekea mnajipigia promo baada ya kukosa soko ila ukweli ni kwamba hatupend scania wala semi bora hata shangingi lina afadhali
 
Tatizo mwanaume haanz kupenda...wanataman na kuvutiwa na kitu fulan kwa mwanamke.na ukijua alichopendewa kwenye umbo lako hicho kitunze ..mwanaume kupenda kunafuata baada ya kuvutiwa au kutaman kitu fulan kwenye umbo la mwanamke
jamani aliye mwelewe mpendwa?
 
Hivi pale wanaume wnapo ngangana kutafta mwanamke mwenye umbo zuri wanakuwa wanamanisha nini?.
mwanaume anakutokea kisha anasema nimeoenda umbo lako hivi unategemea ilo umbo ndo litakupatia mke mwema mnae shinda mnaomba makanisani?
Unachotakiwakuangalia angalia je mke ataweza kuwa na hekima kutunza familia atamjua mme atanilelea watoto ikiwa imenitokea tatizo atajua tule nini watt waendeje shule namie nipateje msahada kutoka katika tatizo,

na je mke huyu anaweza kuangalia ndg zangu au ni mbinafsi watu hawajui hilo utakuta umbo, kwahiyo uko radhi uwe namke kibrudisho katika macho kumbe ndani kaoza hajui nyumba hajui familia yeye ni kutanga na njia ili akasifiwe umbo sawa nayo ni mapambo

ila tuangalie vitu vinavyo kufanya uwe naheshima pale unapo taka kujenga familia au kupiga atua katika kukutofautisha yaweza mtu akawa na umbo mna watoto wakirudi shule hajui watoto sale za shule safi ziina vishikizo watakula nini homework wamefanya yuko kuzurura mpaka baba nataoke katika majukumu kuangalia watoto,

ndo mana mie mtu akinambia una umbo zuri nimelipenda penda mengine sio umbo je umenikuta na minyama unaliona umbo nikikonda utanikimbia hivyo kuna mtu anaweza akampenda mtu kwa unene je akikondautamkimbia ua umempenda akiwa mwembamba akinenepa utamkimbia .tusikrupukentuangalie mambo yanayo weza kumjengea mtu utu sio kutafta sifa .
Fact
 
Na nyinyi wanawake mna maanisha nini mnapotaka mwanaume mwenye six pacs? ??
 
Kwani kupenda si ni zao la kuvutiwa,maumbo yna uchochez katka kumfny mtu akupende
 
7f0fb81b5908eeabfc48ce6d06271e8c.jpg

a21f928501f08ef8e07848e5bc821119.jpg
 
Mwanamke ni tabia umenena vema lakini pia kuwa na mwanamke ambaye utasikia fahari kuwa nae, kutembea nae, n.k. Hata hivyo ukiwa na mwanamke mrembo mwenye tabia mbovu hata uzuri wake hupotea, hataonekana mzuri tena machoni pako kwakua tabia huathiri mwonekano, wataishia kumwona mzuri watu wa nje na si wewe mhusika wala ndugu au jamaa wa karibu anayejua tabia yake. Hapo ndo ujiulize unawaolea watu au umeoa kwa ajili yako. Tabia ni muhimu zaidi lakini usipuuze mwonekano pia.
 
Back
Top Bottom