Recent content by wa2kumi

  1. W

    Magufuli atumia lugha ya Kiswahili kwenye hotuba ya kumkaribisha PM wa India

    Uliyepost itakuwa na matatizo ya akili, kiswahili ndyo lugha yetu lazima tujivunie kwa namna yoyote ile
  2. W

    Msaada

    Naomba kujua jina la Mkuu wa Wilaya ya Nakonde Zambia.
  3. W

    Msaada wa mawasiliona ya kituo cha Azam

    Anayejua namba ya Azam huduma kwa wateja naomba msaada wa hiyo namba
  4. W

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anne Kilango Malecela

    Alipokuwa akisema Hapa Kazi Tu alikuwa hatanii
  5. W

    Kwanini UKAWA hawapo tena kifua mbele kama mwanzo?

    Hoja ya katiba mpya kwishiney
  6. W

    Lady Jay Dee - Ndi Ndi Ndi (Audio & Video Teaser)

    Such a nice song
  7. W

    Rais Magufuli amdhalilisha Meya wa UKAWA Manispaa ya Ilala

    Sasa naamini kweli nyie ni Manyumbu maana umeandika nonsense
  8. W

    Kumbe Bw. Ombeni Sefue alikuwa Jipu..!

    Muandishi na yeye ni jipu bila shaka.
  9. W

    Tundu Lissu: Magufuli ni cross breed kati ya Sokoine na Mrema

    Sio yeye anayejenga lakin yy atakuwa ndyo chachu ya ujenzi wa shule kwa kuhamasisha wananchi sambamba na serikali maana ndyo majukumu yake alikuwa wapi kufanya hilo..
  10. W

    Tundu Lissu: Magufuli ni cross breed kati ya Sokoine na Mrema

    Nimemsikiliza Tundulisu alipokuwa akihojiwa channel ten hakika kwa sasa ameishiwa hoja na nadhani ndyo mwanzo wake wa kupotea katika siasa, yan jimbo lake halina shule za kutosha na madarasa kwa zaid ya miaka mitano unakuja kwenye media na kumlaumu JPM hivi ww mbunge umefanya nini kama ww sio...
  11. W

    Serikali iache kudanganya Wananchi, hakuna Elimu Bure

    Yeye na mkewe wote maziro unategemea nn hapo kama si uchambuzi wa kiziro
  12. W

    Yaliyojiri Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Arusha mjini, Lema atangazwa mshindi

    Mwisho wa Vurugu Viva Monaban#Hapa Kazi Tu.
  13. W

    Yaliyojiri Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Arusha mjini, Lema atangazwa mshindi

    Kwahiyo Chadema wamefanya mabadiliko kwa kumsajili Lowassa na katibu Mkuu Sumaye hiyo nayo ni akili au vumbi??
  14. W

    Yaliyojiri Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Arusha mjini, Lema atangazwa mshindi

    Akili fupi unajadili baraza badala ya kujadili utendaji
Back
Top Bottom