Yaliyojiri Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Arusha mjini, Lema atangazwa mshindi

Wana Arusha wameshtuka kwa wale ambao bado hamjapiga kura sogeeni kwenye vituo mfanye hitimisho la vurugu na fujo zisizo isha Arusha kwa kumchinja Lema na kuiacha Arusha yenye amani Monaban kwa maendelea na Amani# Hapa Kazi Tu.
 
umejiunga humu kwa ajili ya mh.lema ,arusha weka jiwe na ccm ,watachague jiwe ccm zama zake kwisha ,kizazi hiki kipo kwenye fikra tofauti sio fikra za zamani ccm ni ile ile haibadiliki angalia baraza la mawaziri ndo utasoma maandishi ukutani
 
Kwahiyo Chadema wamefanya mabadiliko kwa kumsajili Lowassa na katibu Mkuu Sumaye hiyo nayo ni akili au vumbi??
 
Sisi ndo wenye Arusha. Tuachieni lema wetu. wacha kipisi chetu cha sigara tumalizie sie twajua utamu wake japo inaunguza vidole
 
Back
Top Bottom