Kwanini UKAWA hawapo tena kifua mbele kama mwanzo?

Kwanini UKAWA hawapo tena kifua mbele kama mwanzo?

Tanzania inaongoza katika nchi zenye watu wasio na furaha, na sababu ni figisu za ccm.

Mkuu kwenye hili la kuwa kwenye top ya nchi zisizokuwa na furaha, sikubaliani nalo kwa sababu Tanzania ni nchi inayoendesha sana mambo yake kwa uwazi ndo maana mambo mengi ya nchi yanafahamika sana ila nafikiri kuna nchi nyingine ambazo hazina furaha kuliko sisi lakini kutokana na usiri nchini kwao hawafahamiki.
 
nionavyo mimi hata ccm hawako kifua mbele sana maana majipu yanayotumbuliwa sio ya ukawa bali ni ya watendaji na viongozi walioko chini ya uongozi wa ccm. angalia list ya wenyeviti wa kamati za bunge wanaoandamwa na kashfa ya rushwa sasa hivi wote ni kutoka ccm.hapo ndipo uamini kuwa "ccm ni ile ile" na "ufisadi mbele kwa mbele".eti kifua mbele? subiri matokeo ya umeya dar.
km majipu ni ya ccm mbn kila siku mbowe na lowasa wanalalamika ety jpm anatumbua watu wao au mbowe cku izi ni ccm
 
siku hizi hata wamepunguza matusi yao mitandaoni, wazee wa kulalamikia mfumo na katiba mpya! yote hayo cku hizi kimyaaaaaaaaa
Just wait and see. Kila jambo na wakati wake. Sasa hivi tumeelekeza nguvu zetu kumfanyia tathmimni JPM wa CCM, muda si mrefu mtasikia matokeo yake.
 
km majipu ni ya ccm mbn kila siku mbowe na lowasa wanalalamika ety jpm anatumbua watu wao au mbowe cku izi ni ccm
wamelalamikia uonevu katika utaratibu wa kuwawajibisha watumishi na wala hawajatetea ufisadi.ila nilisema tusubiri matokeo ya umeya dar na sasa ukawa ni kifua mbele. magufuli na ikulu yake rasmi chini ya ukawa.semeni tena.
 
tunachohitaji ni maendeleo na si kukamata jiji tunamsihi mwita afanye kazi na si kuendesha siasa na kutunishiana vifua kwa RC mwisho wa cku kila kitu kikakwama mkuu
 
Back
Top Bottom