Recent content by wa UDOM

  1. wa UDOM

    JamiiForums Tanzania The fact: Osama is dead, who doubts?

    free masons!!
  2. wa UDOM

    JamiiForums Tanzania Ni kweli wahitimu wa udom hawaitwi kwenye interview???

    jamani huu ni uongo! Msitilie maanani jambo hili.
  3. wa UDOM

    JamiiForums Tanzania Nahitaji shule ya kufundisha(private)

    Elli je wewe huna contacts zozote za hao jamaa wa Bagamoyo?tar 30 mwezi wa 6 naondoka hapa na mimi ni mwalimu serikalini ila sitaki kurudi.hakunifai.ahadi nyingi,utekelezaji = 0
  4. wa UDOM

    JamiiForums Tanzania Ni kweli wahitimu wa udom hawaitwi kwenye interview???

    we hujui unachongea.natamani nikutukane mpaka ufe!hujui wanaume tunavyoumia hapa,eti MULTIPLE CHOICE,ulikuja ukaona?watu wanasoma kozi za ajabu,ngumu na zakukatisha tamaa ya maisha.hizo multiple ch unazosema sometimes unaweza hata usizione.kama wewe hujui sema uoneshwe mitihani ilivyo.nipo...
  5. wa UDOM

  6. wa UDOM

    JamiiForums Tanzania Nahitaji shule ya kufundisha(private)

    Kaka ni maelewano tu.inaitwaje?nipe details.
  7. wa UDOM

    JamiiForums Tanzania Nahitaji shule ya kufundisha(private)

    wana JF ninamaliza Masomo mwezi wa7.Ba.Ed. Natafuta shule ya private.ni mtaalam wa English language na English Literature.
  8. wa UDOM

    JamiiForums Tanzania Je huu ndio mwisho wa computer?

    hiyo computer ni aina gani? Kuna uwezekano unatakiwa ubadili settings za SATA katika Bios Setup. Mimi ni fundi wa hayo madude.zingatia ushauri huu. Ukishindwa sema niendelee kukusaidia.karibu.ukitaja aina ya computer nitakusaidia vizuri.
  9. wa UDOM

    JamiiForums Tanzania Doctor Spora Kisanga Udom vp?

    nafanana naye sana tofauti ni fingerprints tu.
  10. wa UDOM

    JamiiForums Tanzania Doctor Spora Kisanga Udom vp?

    Doctor Spora kisanga,Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma,tunakushutumu kwa kutosahihisha tests zetu za Research na kisha kutuwekea zero.saa hii tunalalamika unaanza kukusanya upya majina ya uliowawekea zero na kugawa marks wakati course work zimeshatoka.hatukuelewi!hivi unajua maadili ya kazi...
  11. wa UDOM

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume Wanajichubua?

    hapa UDOM hao wapo lukuki. wengine wana retouch hata nywele zao.dammy it !!!!!
  12. wa UDOM

    JamiiForums Tanzania Namfagilia mhe mama Salma Kikwete

    ******
  13. wa UDOM

    JamiiForums Tanzania Namfagilia mhe mama Salma Kikwete

    ******!
  14. wa UDOM

    JamiiForums Tanzania Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

    Nawashukuru wote. Ahsanteni.
Back
Top Bottom