We ni mwehu tu.hata LWP,Afande na Babu walishasahaulika na wafu fm lakini kwa kishindo cha vinega wafu ikabidi iwakumbuke hili waonekane sio wabaguzi. Vinega imewapa hao masnitch wako somo.
Hatujamjachagua rahis kufanya upuuzi.kuleta maendeleo ni jukumu lake ,maandamo ya nin km amayefanya.ila atujamchagua kuleta ufisadi,umaskin na damu kumwagika.najua uelewi tu ila unajua sana.pole.
Jamaa anaulizia vyuo vikuu alaf anataja ifm,hiki siyo chuo kikuu,ni chuo cha kati au uelewi maana ya chuo kikuu? Mzumbe na udsm kwa biashara vyote viko poa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.