Ajira kwa walimu wapya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajira kwa walimu wapya

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Jonas jumanne, Dec 14, 2011.

 1. J

  Jonas jumanne New Member

  #1
  Dec 14, 2011
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hi jamii.naomba mnisaidie wanajamii,tangu mwezi wa7 wanachuo wamemaliza na mpaka wa9 matokeo vyuo vyote yalikuwa tiali.mwezi wa10 post za ualim zilipangwa na wizra uko moro,lakin mpaka leo hawataki kurelease izo post za ualim.asa 2fanyeje?2shachoka kukaa
   
 2. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  maandamano
   
 3. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Mwalimu hujui hata kuandika "tiali" au tayari ,ww utafundisha kweli mtu aelewe au kuharibu vijana wetu.
   
 4. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nimesikia zinatoka mwakani mwezi wa 7. Wakati unasubiri kuajiriwa, anzisha tuition mwalimu.
   
 5. g

  gidytitus JF-Expert Member

  #5
  Dec 14, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  jibu content na sio structure! Umeulza kumark au kutoa hoja? Wabongo bhana!
   
 6. dwight

  dwight JF-Expert Member

  #6
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  'Tiali' ila hadi mwezi 7 baada ya bajeti kusomwa,mwaka huu fungu halipo!
   
 7. g

  gidytitus JF-Expert Member

  #7
  Dec 14, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  una uhakika na hvo unavyojb? Au nyi ndo akina riz1 nin? Km ni July af hyo xcul ya kata inayotegemea kuanza jan itaiba wap walimu! Think 10tmz mbele...!
   
 8. g

  gidytitus JF-Expert Member

  #8
  Dec 14, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Usjal, anytime utapata gud news, Jan utarpot bt be ready kwenda bush!
   
 9. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #9
  Dec 14, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Na huko ajiandae kukaa mwaka mmoja kabla jina lake halijaingizwa kwenye payroll na kuanza kupata mshahara
   
 10. Jimbi

  Jimbi JF-Expert Member

  #10
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  hahahahaaa mkuu nimecheka kweli, huyu ndiyo anataka kuwafataki tu, watoto wetu!
   
 11. C

  CHIPANJE JF-Expert Member

  #11
  Dec 14, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwan kuna ubaya tukiwekana sawa?
   
 12. M

  Mtangi mtangi Member

  #12
  Dec 15, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwenzenu kauliza vizuri mnaanza kumkosoa kuweni na busara siku zote tunajifunza kutokana na makosa sio tabia nzuri hiyo
   
 13. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #13
  Dec 15, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Siku hizi kimbilio la waliofeli ni wabunge,anzsha tuition
   
 14. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #14
  Dec 15, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Hapo ndo penyewe.
   
 15. Wa tanganyika

  Wa tanganyika Member

  #15
  Dec 15, 2011
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kila mtanzania mnaona analalamika ajira sasa nyie wlimu mnachoshangaa ni kipi? Arghhhhhhhhhhr
   
 16. g

  gidytitus JF-Expert Member

  #16
  Dec 15, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Hyo payrol sdhan km itakawia coz sku iz kwa hlo wanajtahd kdg kuzngatia, 1month under probtn the next u deserv 2 hav ua salary!
   
 17. Polite

  Polite JF-Expert Member

  #17
  Dec 16, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 2,627
  Likes Received: 657
  Trophy Points: 280
  kwani yeye ni mwalimu wa kiswahili?
   
 18. Amlima

  Amlima Senior Member

  #18
  Dec 19, 2011
  Joined: Jun 13, 2009
  Messages: 144
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kukosoana hata kwa vitu vinavyoeleweka?. Au kwa sababu hoja imetolewa na mwl. basi mnakagua hadi alama za mshangao, nukta, koma, na alama za kuuliza kama zipo, acheni hizo.
   
 19. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #19
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Leo nilikuwa wizara ya elimu, niliongea na mfanyakazi mmoja akadai post zitatoka muda wowote ila tatizo kubwa ni serikali haina fedha za kutosha kuwalipa, ungizingatia mwaka huu wamegraduate walimu wengi sana
   
Loading...