Common Zanzibaris: Hivi ndivyo wanavyouona Muungano?

Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,292
771
Nina rafiki zangu kadhaa Wazanzibari (Kama wanavyopenda kujitambulisha), na mara zote katika majadiliano nao wamekuwa wakipinga kwa nguvu zote uwepo wa muungano, na comment zao nyingi kuhusu Watanganyika (Aghalabu sana kwa Mtanzania bara kujitambulisha hvyo) ni negative na zenye dharau nyingi. Natoa mfano wa comment hii ambayo nimeikuta facebook:

"....hao ni washenzi kama hao watanganyika wanofanya sherehe zao wakati sisi wazanzibar tunamsiba mkubwa kiasi huu jeee huo muungano wanousifia upo wapi washenzi wakubwa watanganyika."

Je, undugu kati ya "Watanzania" na Wazanzibari bado ni wa "dhati" kama "ulivyokuwa hapo mwanzo"?
Mimi nadhani sasa ifike wakati nyie viongozi wetu muwe wazalendo, ifike wakati kura za maoni zipigwe KUUKATAA au KUUKUBALI muungano, na kama Tunaukubali tuseme UWEJE?

Angalizo;
Thread hii ina haki ya kuwepo hapa!
 
Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,915
9,872

Thread hii ina haki ya kuwepo hapa
!

Mkuu mbona unajihami. Mawazo yako mbona mazuri tu lakini kujihami kwako kunanitia mashaka. Ungetupa na source ya hiyo comment nasi tukajionea.
 
Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,292
771
Mkuu mbona unajihami. Mawazo yako mbona mazuri tu lakini kujihami kwako kunanitia mashaka. Ungetupa na source ya hiyo comment nasi tukajionea.

Kaka nadhani umegundua kuwa Thread zote zinazoingia jukwaa hili zinapitiwa kwanza na Joopo la Moderators na kuruhusu zile ambazo wanaona zinafaa tu; hivyo ni haki yangu pia kusema thread inahaki ya kubaki! Nimesema source ni facebook hvo hata nikiweka link hapa hauwezi kuiona kama si rafiki wa mtoa kauli!
 
Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,292
771
fb1.giff.GIF
Kwa wale wanaotaka chanzo!
 
wimbi la mbele

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
647
265

7818.jpg

i

Hawa wazungu walikuwa taaban kusaidiana na ndugu zetu kutafuta maiti na watu walionusirika

IMG_6975.JPGThen VODACOM waliamua kuwa bize kufanya yafuatayoooo

IMG_9142.jpg

wakati mnahangaika kutafuta Maiti za watoto wenu na ndugu zenu hawa walisema watakaosa pesa na wataingia hasara kubwa so wakaendelea kujirusha kama kawaida
 
only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
Nina rafiki zangu kadhaa Wazanzibari (Kama wanavyopenda kujitambulisha), na mara zote katika majadiliano nao wamekuwa wakipinga kwa nguvu zote uwepo wa muungano, na comment zao nyingi kuhusu Watanganyika (Aghalabu sana kwa Mtanzania bara kujitambulisha hvyo) ni negative na zenye dharau nyingi. Natoa mfano wa comment hii ambayo nimeikuta facebook:

"....hao ni washenzi kama hao watanganyika wanofanya sherehe zao wakati sisi wazanzibar tunamsiba mkubwa kiasi huu jeee huo muungano wanousifia upo wapi washenzi wakubwa watanganyika."

Je, undugu kati ya "Watanzania" na Wazanzibari bado ni wa "dhati" kama "ulivyokuwa hapo mwanzo"?
Mimi nadhani sasa ifike wakati nyie viongozi wetu muwe wazalendo, ifike wakati kura za maoni zipigwe KUUKATAA au KUUKUBALI muungano, na kama Tunaukubali tuseme UWEJE?

Angalizo;
Thread hii ina haki ya kuwepo hapa!

lol!! Hii ni kali,yaani na mie ni mshenzi...
 
Majoja

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
611
186
Pamoja na kuwa hurumia Wazenj kwa maafa yaliyowafika(Zanzibar ni Nchi ati), hii ni nchi tofauti kabisa na walielewe hilo.
Na hao mabibi wa VODACOM ni wazanzibari nini?
Mbona WABAYA hivyo?
Huyo wa kati domo linataka kumwagika!!!
 
HT

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
1,897
413
huyo jamaa mzima kweli? Hivi anafikiri watanganyika wote walikuwamo? Ana hakika hakukuwa na mzenj humo ndani?
Huyu anapaswa kuhurumiwa tu!
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,570
25,260
poleni ndugu zetu waznz, waliokuwa kwenye hiyo meli hamjatafiti kama walikuwepo waliokuwa wakijihusisha na uchomaji moto wa makanisa, wanajamvi nimeuliza tu, simfungamanishi mungu na utoaji adhabu kwa makosa ya kuchoma makanisa, najenga picha labda wimbi hilo ndo basi ibada zitafanywa bila mmoja kuwa kikwazo au kero kwa mwenzake.
 
Kabembe

JF-Expert Member
Feb 11, 2009
2,550
1,737
Pale Vodacom Miss Tanzania tulikuwepo wote yaani sisi Washenzi(watanganyika) na Waungwana(wazanzibari) pamoja na kuwa na taarifa ya maafa.
 
Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
790
Ni kweli kwa kitendo kile Wazanzibari wanakila sababu ya kulalamika bt sio kwa matusi haya!
 
Omr

JF-Expert Member
Nov 18, 2008
1,160
99
Mzenji mmoja hawakilishi zanzibar nzima, msitake kuleta chuki ya kijinga hapa. Mtu na akili zake hawezi kuleta stori za facebook hapa.
 
4 Reactions
Reply
Top Bottom