We cannot be cheap because of problem of unemployment

We cannot be cheap because of problem of unemployment

hivi kazi za kuhudumia bar ni ya kujidhalilisha? kuna wengine hawana hata hicho kinafasi cha kufuga kuku kuanzia eneo lenyewe na hata mtaji wenyewe, nipate kazi ya bar pale kilimanjaro hotel niache? kisa eti nina degree? haaa mnanitania tena naenda sana hapo maana najua nitawapata wateja walioko kwenye system na mwisho wa siku nitatoka, ajira zimekuwa ngumu sana siku hizi,

Kwa level yake ya kufikiri anaona ni kujidhalilisha, lkn mimi kwa mtazamo wangu, DHAMANI na BAR MADE (tena nafikiri itakuwa made in China) ndio hasa kujidhalilisha.

Wajinga wa namna hii ndio huenda kuchimba mitaro halafu wakiwaona watu wanaowafahamu wanajificha
 
Ni kweli ajira ni ngumu,je vijana mna mkakati gani wa kubadili hali badala ya kulalamika.Mfano viwanda vilivyokufa vifufuliwe na rasilimali kama madini na gesi vipunguze tatizo la ajira kwa kuwekeza faida kwenye viwanda.Mnapokaa tu na kulalamika bila kutoa maoni yoyote na kukomaa ili tuboreshe mfumo wa uchumi ni sawa ni nzi anayepiga kelele kwenye kioo huku akitamani chakula kinachonukia ndani.Mwl.Nyerere aliwataka vijana kuwa jeuri na kuilazimisha serikali iwekeze kwenye viwanda!
 
Bora mkuu umwambie ukweli hivi hawa watu wanajua muda mtu anaoupoteza ukiwa shule ???do you know how long it takes kusukua benchi darasani hadi kufika masters ???sio mnaongea tu na je kama mtu wa masters akifanya kazi ya mtu wa chini then what was the point ya yeye kusoma cuz kama ni elimu tu mie nadhani inaishia form 6 but degree na masters thats a professional sio tu eti cheti ,ni kama mtu asomee kuendesha gari au unamwambia ww kazi yako itakuwa houseboy wapi na wapi ...People think sio mnaongea tu eti nigeria watu wenye masters wanagombania kuendesha magari wat if ukiwa na mtoto anamasters then unamuona yupo street tu anauza mitumba utafurahi ???what about hela ulizotumia kumsomesha ..mtu umesomeshwa ili uishi a better life hujaenda yule kutembea na kurudi kuuza karanga nyie vipi bwana ungeeni vitu vya maana .Kama mtu ana masters hana kazi mwambie afanye kitu relevant na masters yake but sio kusema afanye kazi yoyote huwa utakuwa ni wendawazimu eti kisa hana kazi ..nyie ndio mkizamia nchi za watu mnaishia kuoa au kuolewa na mabibi cuz mnataka short cut mtasema kuwa maisha magumu ndio maana nimeoa./nimeolewa na mzee
 
Damn s**t jaribuni kusoma mada sio mnakurupuka tu! you are completely out of context! Pole!
 
Some intellectual thinking should be left to intellectuals and not University leavers. Wewe ni sifuri kabisa but still unazungumzia thamani.

Ungeanza kuonesha thamani yako kwenye bango: We cannot be cheap because of problem of unemployment.

Are you talking about problem of unemployment or unemployment problem? Sasa huyu ndio msomi anayewashauri wenzake watambue thamani zao. Wewe usiyejua hata kiswahili ndio unataka kujitutumua kuonesha thamani yako?

Listen up stupid boy, kazi hazina formula. Ulichokiongea kina mantiki lakini reading between the lines, intention yako ni ya kujikweza. Usikimbilie kwenye thamani (dhamani, sijui lugha gani hiyo) bali pia zingatia uwezo wako.

Kwa mfano, ukiwa na shahada ya uhandisi na bado hujui kiingereza (bar made = bar maid) wala kiswahili (dhamani = thamani) ambavyo ndio umefundishiwa miaka 18 basi hufai hata kufuga kuku kwa kujiajiri. Zingatia umahiri ndio utakuongezea thamani na sio shahada.

fukara wa mawazo anapoona anashindwa kwa hoja hukimbilia matusi. Hii inaonyesha jinsi ubongo wako ulivyo mtupu, na unatumia matusi kulazimisha hoja. Endelea kuonyesha utalaamu wako wa matusi because that is what u know, idio.t
 
nimeanzisha mada hii baada kuona thread moja ikilamu mtu kukataa kaz akiwa hana kazi. Si kweli wala sahihi kwamba kama mtu hana kaz basi ajishushe dhamani yake na kufanya kaz ambao anaona fika haiko katika level yake. Vijana lazma tujue dhamani yetu na tukatae kunyonywa kwa kupewa kaz ambazo haziendani na ujira in the name of unemployment. Tuzikaae tujizatiti hata kuungana na kujiari wenyewe. Mtu ana shahada ya uhandisi unamwambia kawe bar made kisa hamna ajira, bora mara mia ukafuga kuku wako wa mayai ukauuza
nimekusoma vizuri ndugu yangu! kwanza hongera kwa kujua thamani ya elimu yako na utu wako
wote tunafahamu changamoto za ajira siku hizi,lakini kama ndio tunnaanza kazi,hatuna uzoefu wowote inakulazimu kukubali kazi yeyote ila mradi tunajikimu kila siku!
kuna kitu ambacho graduate wengi hawakijui kuwa mtembea bure sio sawa na mkaa bure,yaani ni na maana ukipata kazi yeyote wewe fanya humohumo ndani ya kazi mambo mengine yatafunguka,utatengeneza network,utakuwa information mbalimbali kuhusu kazi kuliko kubaki nyumbani ukiangalia movie na kupigia misele mademu
siku moja niliwahi kucomment kwa kutumi mfano wa rafiki yangu ambaye baada ya kukaa mtaani 2 years alianza kwenda kariakoo usiku ananunua mbogamboga kwa wakulima alafu asubuhi analangua kwa wanunuzi!kutokana na kuwa makini na kazi yake watu walikuwa wanamuuliza ana elimu gani akasema yeye graduate wa mambo ya biashara!hapohapo kkoo watuwakaanza kumjua then siku moja mtu akamfuata akamwambia ukiwa unamaliza shughuli zako njoo ofisini kwangu uwe unafanya part time as consultancy! jamaa walifanyakazi one year then akafungua ya kwake,leo kampuni yake ina miaka 4 ana clients wa kutosha mpaka anaoutsource kazi kwa watu!tuliomtangulia kupata vibarua bado tunasubiri sana kwa jamaa sababu yupo mbali sana kimashaa,kimawazo
mimi bado na wasiii ndugu zangu tusikataee kazi,sababu hiyo kazi unayoidharau ndio njia yako ya kutokea
nawasilisha
 
Enough said! God bless!
 
Enough said! God bless!

asante kaka kwa kulifahamu hili na kulifanyia kazi, msaidie huyo ISAAC na huyo MUARUBAINI maana naona wakiishiwa hoja wanaishia tu kuedit hoja za watu tena wakiwa out of point,.vijana chukueni kile mnachoona kitawasaidia, acheni kupotoshwa na baadhi ya wachache, fungukeni kifikra this is ur time to act! mbarikiwe wote mliokwisha kujitambua.
 
Nyie watu humu mbona hatuelewani mie sijaongea kuwa usifanye kazi yoyote bali nachosema je is it fair mtu ambaye ana professional kama ya masters au degree kuishia kufanya kazi bar just be serious imagine kama unamtoto umempeleka shule till masters level then unamuona anakuwa barmaid/barman hv itakuingia akilini just tuwe wakweli sio kuongea tu Like i said Degree na Master thats a professional but elimu ya form 4&6 hiyo ni kutoa ujinga tu .Tuwe na mtazamo wa future nyie ndio mtaenda ulaya eti maisha magumu wazungu wanataka kukurudisha nchini kwenu unakimbilia kuolewa na mzee/kuoa mzee
 
Nimekuwa nikishuhudia kwa nchi zilizoendelea,Unakuta mfanyakazi ambaye ni professional, baada ya masaa ya kazi yake ya kitaalam, anakuwa na kazi nyingine ya ziada, kama kuhudumia wateja wa bar, migahawa ya chakula au hoteli. Pia nimeona baadhi ya watanzania wafanyakazi wa ofisi kubwa tu kuko Tanzania, wanapokuja kusoma nchi za ulaya,hutumia sehemu ya muda wao kufanya kazi kama kuuza nyama kwenye mabucha n.k. kwania ya kujipatia kipato zaidi, hawa watu wanaporudi Tanzania huendelea na kazi zao ka kitaalam, na wengine hivi sasa wana vyeo vikubwa tu hata serikalini. Kwa maoni yangu, sidhani kama kazi za namna hii ni za kujishushia thamani ya Utu wako. Ingawa siungi mkono mtu kujiuza kwa nia ya kujipatia kipato😱hwell:
 
Back
Top Bottom