Mimi ni muhanga wa hii hali, nikivuta kumbu kumbu ilinianza 2009 baada ya kumaliza kidato cha nne.
Nimekuwa nikihangaika sana na mpaka wakati huu, sijapata suluhisho.
nimeweza kulogin na kutuma maombi.. changamoto ni stage ya mwisho pale kwenye applicant teaching subjects, inaonekana masomo ya kufundishia hayapo yote, labda wayaupdate kadri muda unaokwenda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.