Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,667
- 3,584
Hivi jamani iyo barua tunaandika Kwa mkono au lazma iwe typed na computer? Mwenye kufahamu tafadhari tujuzane
andika na mkonoHivi jamani iyo barua tunaandika Kwa mkono au lazma iwe typed na computer? Mwenye kufahamu tafadhari tujuzane
http://ajira.tamisemi.go.tz ISIPOKUA nimetumia firefox maana chrome inanigomeaNaomba link uliyokuwezesha ndugu
untumia browser gani...?Naona mzigo umeshafunguka sasa
nimeweza kulogin na kutuma maombi.. changamoto ni stage ya mwisho pale kwenye applicant teaching subjects, inaonekana masomo ya kufundishia hayapo yote, labda wayaupdate kadri muda unaokwenda
Kwa kweli ni majanga acha tuendelee kasubiri maana Mimi sijawahi hata kufungua iyo systemWaungwana kuna mtu amefanikiwa?jana ilifunguka kidogo sana na sikuweza kufanya chochote.tokea huo muda mpaka saizi haifunguki
Wapigieni simu muwaulize wanatatizo gani.Kwa kweli ni majanga acha tuendelee kasubiri maana Mimi sijawahi hata kufungua iyo system
Wee jamaa umeona mbaliYaan mifumo huwa ni mizuri sana kwa kufunika kombe
Siasa Sayansi bhana
Ni kama Mimi mkuuLeo nimekesha nikiwa najaribu kuingia kwenye mfumo, ila sikufanikiwa hata kufika eneo la ku login.
Kumbe wanga wengi eeeh? [emoji23][emoji23]Leo nimekesha nikiwa najaribu kuingia kwenye mfumo, ila sikufanikiwa hata kufika eneo la ku login.