Recent content by Wa Ndima

  1. Wa Ndima

    JamiiForums Tanzania Hivi ulitumia simu gani wakati unajiunga JF kwa mara ya kwanza?

    Huyu jamaa MziziMkavu yuko wapi? Kitambo sana mara ya mwisho nakumbuka alikuwa Uturuki
  2. Wa Ndima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ananilazimisha nimuombe msamaha mbele ya Kanisa

    Huwezi kumwamnbia mkeo MSHAMBA halafu ukategemea msamaha kirahisi hivyo. Hili ndo tatizo la kuoa wanawake wenye akili finyu, visasi na kukurupuka. Nimejaribu kusoma katikati ya mistari yako Mkuu
  3. Wa Ndima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maeneo ambayo huamsha hisia kwenye mwili wa mwanaume

    Isia ndiyo kitu gani kwanza??
  4. Wa Ndima

    JamiiForums Tanzania Ukiona hivi Team Kiba unasema kwa Diamond?

    Hatari sana
  5. Wa Ndima

    JamiiForums Tanzania Kulikoni chaneli za ITV na Channel 5 zimetoweka hewani?

    Wamebadilisha Frequency na Symborate wamehamia Intelsat22
  6. Wa Ndima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri mawazo yananitesa sana.

    Muonja asali...
  7. Wa Ndima

    JamiiForums Tanzania Mdude Chadema afunguka kilichomsibu na lengo la watekaji

    Pole sana dah
  8. Wa Ndima

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jambo wanalopaswa kufahamu CHADEMA, ni kwamba muda wa kufanya siasa za kistaarabu umekwisha

    Kauli ya kipuuzi sana hii. Kauli ya mtu aliyeshindwa na mwenye uwezo mdogo wa kufikilia
  9. Wa Ndima

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jambo wanalopaswa kufahamu CHADEMA, ni kwamba muda wa kufanya siasa za kistaarabu umekwisha

    Hivi inapozungumzwa neno "CHADEMA" ni kina nani hasa?
  10. Wa Ndima

    JamiiForums Tanzania Muonekano Mpya wa TAZARA Flyover

    Tazara kilichofanyika ni kuhamisha barabara kutoka chini kwenda juu tu. Ushawahi kuona FlyOver inawekwa Traffic Lights?
  11. Wa Ndima

    JamiiForums Tanzania Miaka 3 sasa Ripoti hii haijapelekwa Bungeni, VIPI?

    Tanzania njia panda mabilioni ya Uswisi By Elias Msuya, Mwananchi emsuya@mwananchi.co.tz Dar es Salaam. Wakati Kenya na Uswisi zikiingia makubaliano ya kurejesha mabilioni ya fedha yaliyofichwa katika benki za nchi hiyo ya barani Ulaya, Tanzania imeendelea kuwa njia panda katika suala hilo...
  12. Wa Ndima

    JamiiForums Tanzania Miaka 3 sasa Ripoti hii haijapelekwa Bungeni, VIPI?

    Hii Ripoti ni miaka mitatu sasa haijapelekwa Bungeni Na Lilian Timbuka, Mwananchi Posted Alhamisi, Februari 12 2015 saa 9:26 AM Kwa ufupi Hayo yalisemwa jana na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dar es Salaam. Kamati iliyoundwa na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), kuchunguza mabilioni ya...
Back
Top Bottom