tweenty4seven JF-Expert Member Joined Sep 21, 2013 Posts 15,895 Reaction score 19,771 Jul 30, 2019 #2 Sisi tuko na show zaidi ya 100 ila hatupendi kujitangaza[emoji3][emoji3]
Baba Swalehe JF-Expert Member Joined Jun 6, 2017 Posts 20,307 Reaction score 40,107 Jul 30, 2019 #3 Si naskia kibakuli hapendi kujitangaza
Mvumbo JF-Expert Member Joined Aug 20, 2015 Posts 3,491 Reaction score 12,156 Jul 30, 2019 #4 Halafu watu watajuaje ili waje kwenye show, au hamtaki wajue pia mnajifungia milango na kuimba wenyewe? tweenty4seven said: Sisi tuko na show zaidi ya 100 ila hatupendi kujitangaza[emoji3][emoji3] Click to expand...
Halafu watu watajuaje ili waje kwenye show, au hamtaki wajue pia mnajifungia milango na kuimba wenyewe? tweenty4seven said: Sisi tuko na show zaidi ya 100 ila hatupendi kujitangaza[emoji3][emoji3] Click to expand...
Mvumbo JF-Expert Member Joined Aug 20, 2015 Posts 3,491 Reaction score 12,156 Jul 30, 2019 #5 Baba Swalehe said: Si naskia kibakuli hapendi kujitangaza Click to expand... Ni kwenye mengine sio music, hii ni biashara ya matangazo ili upate watazamaji.
Baba Swalehe said: Si naskia kibakuli hapendi kujitangaza Click to expand... Ni kwenye mengine sio music, hii ni biashara ya matangazo ili upate watazamaji.
chuma cha mjerumani JF-Expert Member Joined Dec 4, 2013 Posts 12,289 Reaction score 25,680 Jul 30, 2019 #6 dah jamaa kweli anapiga kazi asee.
Wa Ndima JF-Expert Member Joined Aug 13, 2010 Posts 1,526 Reaction score 329 Jul 30, 2019 #7 Hatari sana