Hivi ulitumia simu gani wakati unajiunga JF kwa mara ya kwanza?

Dah nakumbuka ilikuwa ni Sony Xperia Z1 C6903
images.jpeg-16.jpg

Nakumbuka nilikuwa nikiiona ni kubwa lakini kwa sasa nikifikiri ilikuwa na display ya inch 5 naishia kucheka
 
Habari zenu wakuu.

Leo nimekumbuka nyuma wakati najiunga na JF kwa mara ya kwanza. Kwa kweli technology inakimbia kwa speed kubwa sana. Nikikumbuka aina ya simu niliykuwa nafungulia threads za humu ndani na magumu yake naduwaa kidogo.

Kwa ufupi Mimi Id yangu ya kwanza JF niliifungua 2011 wakati ule nilikuwa mtumiaji sana wa Facebook na kule kuna page ya JF nililike na ikawa naona story za humu ndani, nilipo jaribu kuingia ndani nikawa naona member wa wakati huo nakumbuka Mzizi Mkavu, na maligends wengine waliokuwa katika pick.

Kinacho nichekesha Leo ni aina ya simu huo mwaka nilikuwa natumia simu fulani za Nokia X-01 kama sikosei wengine walikuwa wanaziita Asha. Nawaza kama simu hii nikipewa Leo nitumie KuGoogle itakuwaje?

Je, wenzangu mnazikumbuka simu zilizotuunga JF kwa mara ya kwanza? Nasikia kuna wakongwe zaidi hao hawakutumia simu badala yake walitumia PC ili kuingia JF.

View attachment 1638426
Nilijiunga kwny pc za internet cafe pale kicheko Moshi mwaka 2015 kwa mnaopajua...issue ya jf alinisanua mzee mmoja wa makamo now ana miaka 79

Baadae nikahamia kwny samsung pocket kale kadunju...hahaa
Now nakula maisha na Camon X
 
Ulipewa Gift mkuu?
Rafiki yangu wa Kitambo ambaye tumepotezana alikuwa anatumia Nokia x2 , Mwingine Nokia asha na Mimi e72. Enzi hizo Whatsapp walikuwa nayo watu wachache tunatumiana video, Tulikuwa tunajiona matawi .
Kwahiyo nlivyoiona hiyo picture ya x2 nikawakumbuka sana.
 
Habari zenu wakuu.

Leo nimekumbuka nyuma wakati najiunga na JF kwa mara ya kwanza. Kwa kweli technology inakimbia kwa speed kubwa sana. Nikikumbuka aina ya simu niliykuwa nafungulia threads za humu ndani na magumu yake naduwaa kidogo.

Kwa ufupi Mimi ID yangu ya kwanza JF niliifungua 2011 wakati ule nilikuwa mtumiaji sana wa Facebook na kule kuna page ya JF nililike na ikawa naona story za humu ndani, nilipo jaribu kuingia ndani nikawa naona member wa wakati huo nakumbuka Mzizi Mkavu, na maligends wengine waliokuwa katika pick.

Kinacho nichekesha Leo ni aina ya simu huo mwaka nilikuwa natumia simu fulani za Nokia X-01 kama sikosei wengine walikuwa wanaziita Asha. Nawaza kama simu hii nikipewa Leo nitumie KuGoogle itakuwaje?

Je, wenzangu mnazikumbuka simu zilizotuunga JF kwa mara ya kwanza? Nasikia kuna wakongwe zaidi hao hawakutumia simu badala yake walitumia PC ili kuingia JF.

View attachment 1638426
Blackberry
 
Huyu jamaa MziziMkavu yuko wapi? Kitambo sana mara ya mwisho nakumbuka alikuwa Uturuki
 
Nilitumia iPhone ya kitukuu changu
 
Nilijiunga 2009 na ka sony erickson kangu.
Nakumbuka enzi hizo Jf ilikuwa moto sana.
Ni hoja kwa hoja. Ilikuwa haijavamiwa na tuwatoto twa facebook.
 
Nilianza kubrowse kwa kutumia laptop mwaka 2008

Mpaka leo hii, situmii JF kwenye simu (jus being careful with digital footprints),

2008 - Nokia
2009 - 2010 Blackberry
 
Back
Top Bottom