2014 nlienda fiesta kwa mara ya kwanza nikiwa songea, haikufika hata saa sita nliondoka nkaenda kulala maana ckuona uzuri wa zile show, labda wasanii wa hiphop kidooogo wanachangamsha akina linar na recho hadi unamwonea huruma mpaka inabidi waoneshe makalio watu ndo wachangamke, ila...
mm huwa naona aibu kuangalia, kuna cku nliona matangazo ya movi ya. kibongo inaitw taksi driver nkajua itakuwa bonge la muvi, nkaenda kuazima, mweee! najuuta hata cjarudia tena mm ni teja wa hollywood.
wanajamvi mmenigusa sana maana tangu nikiwa dogo natamani sana mautundu haya, hizo windows essential movie maker ndo ninazofanikiwa kuzipata tuu. zingine nimedownload lakin kuinstall nahitaji kam GB 1 hiv na net zetu ndo ivo ni zembe balaa kama kuna m2 anaweza nipa moja anitonye through 0714...
unajiita msani au msanii, maana wasiwasi wangu ni kuwa umetumia usanii kuandika hayo maelezo, ila kama ni kweli unazo hizo pesa basi nakuomba uendelee kuzitunza huku ukiangalia ni jambo gani unalopenda kulifanya na litazalisha zaidi, maana unaweza ukasubiri kazi na usije kuukusanya kiasi hicho...
jamaa anaongea jambo la ukweli kabisa ila ameropoka kidogo. ni kwamba angesema kuwa sie graduets tukipata kazi tuuache utozi tutafute mtaji wa project kama hiyo yake, maana magraduets hatuna kitu hata kama nina hiyo laki tano ntaitumia kujitunza ili niondoe aibu ya kutunzwa baada ya kugraduate...
mwenyewe nimeliona hilo hakika ni tatizo, si kiswahili pekee hata kiingereza hakijui, kuna jamaa kasema kweli huyo atakuwa la saba anafuatilia mshahara wa anayemdai
wewe ni nouma ila ulifanya ya msingi ungewaambia na wenzio bana hao jamaa matapel siwataki kabisa, mi mwenyewe natafuta kazi nimekuwa kama jinga yaan unaweza nitapeli hivi hivi, afu wanajamvi msijidanganye kuitwa kwenye kazi zinazotangazwa maana nimeona wanaitana kiundugu tuu, wanatangaza kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.