Idimulwa
Platinum Member
- May 27, 2011
- 5,102
- 2,682
Uclas = 7 years ( Std I-VII) + 4 years ( Form I -IV) + 2 years ( Form V -VI) +4 years( Bachelor's degree)=17 years, Hata kiswahili kuandika ni shida. Kazi ipo!!!
Huyu nitapeli tu na wala siyo mtanzania maana hicho kiswahili sicho kabisa na shule zetu za kata a.k.a yeboyebo zisizo na vitabu,walimu,maabara nk.hazijafikisha hiyo miaka 17 bado