Recent content by Wa Ikoma

  1. Wa Ikoma

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Hatimae Baraka Malisa amekamatwa

    Huyo afande ndivyo alivyo jamani msishangae sana
  2. Wa Ikoma

    JamiiForums Tanzania Alinipiga mpaka kuniharibu kizazi kisha akaniacha kwasababu siwezi kuzaa

    Aisee mpaka chozi limenitoka, kama imetokea kweli pole sana ila yote haya yametokea kwasababu wanawake ni wepesi sana wa kusamehe na kusahau Inaumiza na inaskitisha sana
  3. Wa Ikoma

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake hawafuti namba za simu hata kama alikukataa au mliachana?

    Hata mie niko hivohivo
  4. Wa Ikoma

    JamiiForums Tanzania Kusoma ni kipaji.. Cheki mwanafunzi asiyependa shule huyo

    Mbombo ngafu
  5. Wa Ikoma

    JamiiForums Tanzania Kwanini wenzetu Ulaya wanapenda wanawake miss ila Afrika wanapenda mabonge?

    Hee jamani uongo Mwingine kiukweli unalenga kukatisha tamaa
  6. Wa Ikoma

    JamiiForums Tanzania Ungependa kuolewa na mwanaume wa kabila gani?

    Duh kweli usilolijua ni sawa na Ucku Wa giza!!
  7. Wa Ikoma

    JamiiForums Tanzania Bei ya SUKARI mikoa mbalimbali Tanzania

    3000
  8. Wa Ikoma

    JamiiForums Tanzania Najuta kuanzisha haya mahusiano

    Ngoja zamu yako ifike
  9. Wa Ikoma

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimpe zawadi gani mke wangu?

    Aisee yaan nimejikuta tu nafurahi, yaani ningepata mume kama wewe cpati picha ningekuwa na furaha kiasi gani Nampongeza mkeo kwa bahati aliyoipata!
  10. Wa Ikoma

    JamiiForums Tanzania Sitathubutu kuoa wala kupata mtoto

    Ni kweli kabisa Mkuu!
  11. Wa Ikoma

    JamiiForums Tanzania Leo naolewa

    Hongera sana mpenz, karibu sana kwenye chama.
  12. Wa Ikoma

    JamiiForums Tanzania Ukiwaoa wanawake wanaofanya kazi hizi, basi una changamoto kubwa

    Kwa hiyo mtoa mada unataka wanawake wote wanaofanya kazi za aina hiyo wasiolewe?
  13. Wa Ikoma

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimempa ujauzito mchumba wa binamu yangu

    Huenda imani take kuzini ni luksa Tena sio luksa tu bali ni luksa kwa mtu yeyote hata ndugu we twende kazini. Kifupi umeniboa sana mtoa mada.
  14. Wa Ikoma

    JamiiForums Tanzania Hivi bado kuna wanawake wanavaa makalio bandia? Jana yamenikuta

    Aisee kaz tunayo
  15. Wa Ikoma

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaofika kileleni mapema mnakera sana

    Na wengi wao ukiwakuta kijiweni full kijisifia kumbe hamna kitu
Back
Top Bottom