Najuta kuanzisha haya mahusiano

Najuta kuanzisha haya mahusiano

Kama unajiona humtendei haki ni bora umuambie ukweli haraka iwezekanavyo kabla hujampotezea muda zaidi. But tumia busara sana utakapokuwa unamtumbua "jipu".

Hata hivyo, jiandae kwa kuja kuulipia baadae huo wema na upendo anaokufanyia and yet huna mpango wa maana naye. Kumbuka wanawake wa aina hiyo ni very rare commodity kuipata. Uwezekano mkubwa ni kwamba utakuja kumkumbuka and that will be too late....wakati huo utakuwa umedondokea kwa kimeo mmoja hivi. Kila la kheri mkuu
 
Mkuu unakosea, yani umenza mahusiano na umjenga na kibanda kabisa leo unataka kukichoma kibanda, je umemwazia mwenzako atalipokeaje hili maana yeye mind set yake anajuwa tayari ana mume wakati wewe mwenzake huna future plan naye hata, ni vyema ukamwambia mapema ili ajipange kisaikolojia......sometime men we are so rude.... Nao hawa ni human being..... Tusijiangali sisi tu

Halafu ngoja nikuambia mkuu mwanamke usio kuwa na plan naye ndiyo huwa perfect na utaishi naye maisha mazuri sana kuliko huyo waku search.... Utakuja niambia, nimeliona hili kwa watu wengi

Umeongea vyema sana mkuu
 
Unaweza kuanzisha mahusiano kisha badae ukajuta kuhusu hayo mahusiano,unaweza kujuta kwa mema au kwa mabaya ya hayo mahusiano.

mahusiano yangu mimi nawewe nayajutia na natamani bora ningelikataa, najuta kwa kuwa hunithamini, hujanitendea haki umenitumia.

Najuta kwa kua hukustahili kupata thamani niliyokupatia, najuta kupenda mwanaume kama wewe, najua hajui kama nimeshagundua unanitumia tu na huna lengo lolote na mimi ila adhabu hii sikustahiki kuipata toka kwako kaka nimekua mwema sana kwako.

Natamani ningelikataa mapema labda ningepata mwanaume ambae angejali na kutambua upendo wangu natamani haya mahusiano yasingekuwepo.

Ulijua kua ulikua unanijumia tu bila lengo lolote kwanini hukuwa muwazi ningestili upendo wangu wa dhati, najua hukunipenda sana wala kunijali na toka moyoni mwako hukua na lengo lolote na mimi.

Kwa ulivyonitenda mimi najuta kuruhusu huu uhusiano... Najuta kukufahamu


(CRYING)
 
Back
Top Bottom