Kusoma ni kipaji.. Cheki mwanafunzi asiyependa shule huyo

Majighu2015

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,936
3,959
575d9ca5aca45f790f953b931a01cb2b.jpg
 
Hahahahaa idiot looh:D
Na kamlima -20 juu.. Ananikumbusha class mate wangu flan mhindi kwenye mtihani wa programming aliulizwa tofauti ya C na C++ programming languages. Alichojibu sasa.

1. C have a single C while C++ have one C and two ++ signs.
2. C is taught by Mr. Sharma while C++ is taught by Ms. Rupia.

Ilikua ni hatari kwa kweli,shule ina wenyewe.
 
Back
Top Bottom