Naomba niwakumbushe watanzania kuwa, kwa hali tuliyofikia sasa inabidi tuwe na ufahamu wa kutosha kuhusu vyama vya siasa na wanasiasa.
Haitoshi kuwa mwanachama wa chama fulani na kupiga kura, bali kuwa na sababu ya kwa nini upige na hasa kupigia kura chama fulani hata kama wewe ni mwanachama wa...
Ninachokijua ni kwamba ccm wanapoteza umaarufu! Ikumbukwe kuwa, wanamageuzi wengi hawana sifa za kupiga kura kutokana na kutokuwepo kwenye daftari la wapiga kura! Km mambo yatakuwa hivyo baada ya kurekebishwa kwa daftari hili basi nitajua ccm iko juu otherwise hakuna kipya zaidi madudu yaleyale...
Kumwelimisha mtu kama mwigulu ni kupoteza muda. Mbona hahoji misafara ya mashangingi wake na watoto wa wakubwa? Zamanizile hatukuona ving'ora eti mke au mtoto wa rais anapita!Hebu huyu mchumi atueleze gharama hizo analipa nani? Kiranja mkuuanasafiri siku 350 kwa miaka 8, hiyo gharama ya kuitunza...
Mm! Mimi naona kana kwamba wazanzibari hawajajua ni wazanzibari wangapi wameajiriwa katika mfumo wa muungano na hawajafikiria how these fellows will be accommodated in their new government. Lakini yote mema zuri zaidi linabaki kuwa serikali tatu au kuvunja blur blur za the so called union of...
Hakuna sababu sababu ya kulazimisha kubaki cdm kwanini asifuate nyayo za malema? Hapo ndo natambua kuwa kuna something behind the scene! Mimi nitashukuru kama atatimuliwa kabisa ili tuone cdm kinakufa vipi kwa lengo la kujifunza pia. Mtu mmoja hawezi kuwa yeye ndo yeye....waandamanaji...
Baada ya dhiki faraja; ipo siku kitaeleweka tu. Kimsingi napenda kuwajibishana bila kujali ni nani anawajibishwa. Utamaduni wa kutowajibishana umeua uzalendo wa nchi nyingi za kiafrika kwa kudhani kuwa kuna mtu/watu mhimu ambao bila wao nchi haiwezi kwenda! Tumekosea na tunavuna uharibifu wa...
Kigwangala is a pig headed politician who is there to please himself! sisi wapiga kura tunaelewa wabunge gani wanafaa; Mbowe is a million times better than Kigwangala. Halafu ni aibu kwa mtu mwenye level ya DR kuongea mipasho bungeni!
Nimepata habari humu JF eti Dr kigwangala amekabidhiwa majina ya wauza unga wakiwemo wabunge wa ccm na chadema na kwamba atawataja hivi karibuni baada ya intelijensia yake binafsi (siyo ya kova wala IGP) kukamilisha uchunguzi.
Kwa hili ninaona sasa viongozi wetu wa siasa mmezidi kututapeli...
Mzazi akitamka neno 'kijana' si lazima libebe generic reference sometimes hubeba specific refence: kwa hiyo huenda kijana akawa Ridhiwan (specific refence), kijana wa zamani Lowasa (specific reference)au mtu yeyote mwenye umri usiopindukia utu uzima (generic ref). Kazi ipo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.