WILLAFRICA
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 4,027
- 933
- Thread starter
- #41
atakua amekosea ni ngara iliyoko mkoani kagera
asante kijana wangu kwa masahihisho hayo.
atakua amekosea ni ngara iliyoko mkoani kagera
Saa ya ukombozi ndiyo sasa imefika kwa wana ngara wote kusema "GWAYAKA" ndani ya PEOPLE'S POWER
Toa utoto wewe ukombozi unaujua ww!
pamoja kamanda huko ni kwetuasante kijana wangu kwa masahihisho hayo.
Mbona unatukana mkuu ngoja dawa ikuingie vizuri
Mie nikiona haya huwa naanza jiuliza maswali, je hao wanaohama ccm kwenda chadema, wanajua mwongozo wa chadema. Pili wanakubali kuenenda na mwongozo wa Chadema? Au do mambo ya danganya toto!!!???
Nyie Chadema na CCM ni kunguru tu. Tunataka chama kipya. Plus inashanganza kuona watu wanashabiki viongozi wenye ma scandal wa Chadema. Nchi inahitaji chama kipya na wanasiasa makini.
Toa utoto wewe ukombozi unaujua ww!
Anzisha cha familia yenu?